nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,047
- 12,753
Jamaa unapenda sifa hadi unaboa.
Kwa kweli... Sijui pia wapi ipo documented kuwa mbunge haruhusiwi kuitumia pia kuwasiliana na donor country/institution.Tataizo, hata kwenye letterhead sijaona bado tatizo la mbunge kutumia letterhead ya bunge.
Magu kumbe mwepesi sana eti amemuahaidi balozi wa marekani kuwaruhusu waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa 2020
Ubarikiwe sana mkuu, tushikamane dhidi ya Idd Amin wa Tanzania anayechipua kwa kasi kubwaUlifanya vyema mimi niliwajulisha Walinzi w commision ya amani ya UN kutoka kwenye vikundi vya CIA US , niliwaeleza kuhusu hali mbaya ua utawala wa awamu ya tano. Bila kupinga walikubaliana na hoja zangu kwa kuwa na wao wako macho waki scrutiny tabia za jiwe.
Msijaribu kumkamata Zitto nina Taarifa za uhakika kuwa genge la vibaka wa CCM kuanzia Rais hadi mawaziri linawindwa ili lijae kwenye 18 na wakubwa wa Dunia hiiWewe hatuwezi kukukamata kirahisi kama ilivyo kwa Zitto
Exactly mkuu ,uko sahihi kabisa, sasa walitaka atumie letterhead ipi wakati yeye ni mbunge na ameandika Kama mbunge?Tataizo, hata kwenye letterhead sijaona bado tatizo la mbunge kutumia letterhead ya bunge.
Wewe huna impact hata na maisha ya ngedere porini, so you can't listen to any creature.Wewe my son hata mimi sikusikilizi.... Sembuse world bank
Unachekesha kweli, napenda sifa unanijua mimi wewe?Jamaa unapenda sifa hadi unaboa.
Mnapoteza muda wenu bure kumwandama Zitto eti kaiandikia World Bank isitishe mkopo wake kwa Tanzania.
Hata sisi pia na mimi nikiwemo na wenzangu wengine wengi pia tumeileza World Bank juu ya uozo wa serikali ya awamu ya Tano juu ya haki za Binadamu, Demokrasia na hali ya kisiasa kwa ujumla Tanzania.
Binafsi nimetuma clip za Video kwa World Bank na kuwataka pia ku prove hizo clip You Tube juu ya matamshi ya Rais kwa Wapinzani, ambayo amekuwa akiyatoa hadharani.
Kwanini serikali inahitaji hiyo pesa karibia na uchaguzi mkuu na siyo baada ya uchaguzi mkuu au kabla?
Jibu li wazi kwamba hiyo pesa inalengwa kutumika kwenye Kampeni.
Nimewaandikia Benk ya Dunia na kuwaeleza wazi kwamba kwa sasa kila kiongozi ana tension na uchaguzi mkuu hasa Rais na Wabunge hasa wa CCM ambako ndo kuna mawaziri.
Nimeikumbusha World Bank juu ya mizengwe ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana jinsi wapinzani walivyonyanyaswa hadi kujitoa kwenye uchaguzi.
Nimeieleza World Bank kuwa Tanzania imeshapata mikopo mingi mno ya Elimu tangu Tupate Uhuru na Rais pekee aliyekuwa akitumia mikopo hiyo vizuri ni Nyerere pekee yake ndo maana ktk utawala wake Elimu ilikuwa bure kweli kweli na siyo bure ya mdomoni Kama tunavyoaminishwa sasa hivi.
Nimeieleza World Bank jinsi watoto wadogo wanavyotembea km zaidi ya 10 kwa siku kwenda shule na bado wakifika darasani hakuna madawati, vitabu na uhaba wa walimu,na kwamba kipaumbele cha serikali ya awamu ya Tano siyo Elimu bali ni ununuzi wa ndege na miradi mikubwa ambayo inazidi uwezo wa nchi kiuchumi.
Na pia nimeieleza World Bank jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyodhamiria kuua upinzani kwa nguvu zake zote,kwa hiyo si ajabu hizo pesa zitatumika ktk operesheni Tokomeza upinzani.
Huyo ni mwepesi Kama Toilet paper, Tanzania hapa Duniani ni sawa na kijiji tu, zina nyoshwa Russia na China wenye nguvu ije kuwa ka Tanzania?Magu kumbe mwepesi sana eti amemuahaidi balozi wa marekani kuwaruhusu waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa 2020
HapanaMsijaribu kumkamata Zitto nina Taarifa za uhakika kuwa genge la vibaka wa CCM kuanzia Rais hadi mawaziri linawindwa ili lijae kwenye 18 na wakubwa wa Dunia hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, mnyosheni kisha msubiri majibuHapana
mtu anayehatarisha usalama wa taifa lazima tumnyooshe
Tunajipa utapiamlo wa akili wenyewe kwa makusudi.Exactly mkuu ,uko sahihi kabisa, sasa walitaka atumie letterhead ipi wakati yeye ni mbunge na ameandika Kama mbunge?
Hawa watu ni zero brain kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mkopo hapaBehind the keyboard everyone is a warrior but have no guts
My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Ni kweli mkuuTunajipa utapiamlo wa akili wenyewe kwa makusudi.
Halafu tunashangaa kuulizana ni kwa nini sisi masikini? Ni nani katuloga?
Ndo unyonge wa akili huo! Ulipoandika ulitegemea kupata nini? wewe uandamwe kwa jina gani ulilonalo. Zitto anaandamwa kwa kutumia nembo ya Bunge kwa malalamiko ambayo siyo ya kibunge. Malalamiko ya kibunge hupelekwa kwenye vyiombo rasmi na siyo World Bank.Mnapoteza muda wenu bure kumwandama Zitto eti kaiandikia World Bank isitishe mkopo wake kwa Tanzania.