mawazo yako usitake kutuambukiza na sisi pyeeeeee
Watanzania wote! Yaani wote unataka tuwe na akili ya aina moja? Hapo ndo ungeanzia kujua kasoro yako. Tunachotaka sisi wakulima tunakipata. Wewe unayetafuta jukwaa, endelea. Ukikwama, segelea. Upuuzi uwe na kiwango.
Kuna vijimtu kule Bungeni vinadhani Ubunge ndo kazi bora duniani. Yaani kila wakati vinaamini maendeleo yatatoka Bungeni tu!My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Unatakiwa urudi shule kidigo..sio kufuata mkumbo..Rais juzi alisema alishaongea na Kiongozi mkuu wa WB akamhakikishia kuwa mkopo utakuja sasa ,tusubiri mkopo...usaliti uko wapi kwa Zitto...Serikali inatakiwa ipeleke minor reason ili ipate huo mkopo unaoliliwa...Donor country unanunua ndege kila siku halafu mnalilia mkopo...My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Hakuna wa kutupa majibu mkuu
What would you do if that is the only weapon you have. Wouldn't you use it if it can help change your situation?Behind the keyboard everyone is a warrior but have no guts
Wewe ni msemaji wa "wakulima"?Watanzania wote! Yaani wote unataka tuwe na akili ya aina moja? Hapo ndo ungeanzia kujua kasoro yako. Tunachotaka sisi wakulima tunakipata. Wewe unayetafuta jukwaa, endelea. Ukikwama, segelea. Upuuzi uwe na kiwango.
Wewe bado kidogo hao wakubwa wakutangazie fungu.... Hawachekagi na watu wa kaliba yakoWewe huna impact hata na maisha ya ngedere porini, so you can't listen to any creature.
World Bank wana impact na maisha ya kila raia in every single country all over the world ,kwa hiyo hawapuuzi Taarifa yoyote kutoka kwa raia, that's a great monetary institution na wewe ni kibaka wa Tandale tu, so wapi na wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sijaandika lakini mmefurahiHata mimi niliandika.
Kamuulize Makonda kama anaruhusiwa kukanyaga kwa Trump kuleta makontena!!?Behind the keyboard everyone is a warrior but have no guts
Nawe boss bado hujawa na ufahamu kiasi hiki? Yaani unaamini kukopa ni umaskini? Nchi gani duniani haikopi? Nchi zinakopa na kukopesha pia! Norway iliikopesha Brazil wakati huo huo Brazil ikaikopesha USA! What is that?Unatakiwa urudi shule kidigo..sio kufuata mkumbo..Rais juzi alisema alishaongea na Kiongozi mkuu wa WB akamhakikishia kuwa mkopo utakuja sasa ,tusubiri mkopo...usaliti uko wapi kwa Zitto...Serikali inatakiwa ipeleke minor reason ili ipate huo mkopo unaoliliwa...Donor country unanunua ndege kila siku halafu mnalilia mkopo...
Hakuna sehemu nyigine ya kukopa had mlilie wa WB ..kuna Bank ya Africa kakopeni huko.
Ngoja na mimi niwaandikie kuhusu maguful alivyonizurumu matuta yangu mawili ya mchicha pale chato