Sio uzushi ni kweli imetokea

Sio uzushi ni kweli imetokea

Hilo ni kosa la jamaa wakati anaimbisha alijifanya anazo yasimshinde
 
mabint ukiwachekea utashona mpaka sox...sugarbear amekutana na roho ngumu
 
Siyo ya kushangaza sana. Kuna vitu vingine vya wanawake vinagharama, we mpe tu hela mpaka ajione mjinga.
 
Mkuu mshana jr nimedhalilika! Kuna sehemu nimekaa hapastahiki kucheka! Sasa mii nimecheka! Watu hapa wanajadili adhabu ya kunipa!
 
Last edited by a moderator:

Sasa mbona nami unanichekesha wakati nimekaa na mkwe na kateleza kapiga makalio chini na wakati huohuo nilikuwa nasoma reply yako?
Nimedhalilika kwakuwa nimeonekana nilikuwa namcheka yeye kumbe wallah
 
Hawa wakwe wa nowadays hawa!
 
Bora kumnyoa tu hana chachu yamaendeleo wanini uyo kilaza
 
Hawalizikagi bro utashindwa ata kumtumia mama ako pesa ya mboga wanawake wengi wanajar matumizi nasio mapato
 
Kuna siku tupo CBE akaja jamaa na demu wakaagiza nyama ilipofika muhudumu akawa kasahau maji binti akaonyesha ufakhari akanawa redbull kitendo hicho nikakishuhudia kumbe nimegonganish macho na yule kijana basi kijana akanifinya jicho kitendo kikapita nikawapotezea.
Baada ya saa nzima kukawa na mzozo mezani kati ya muhudumu na yule bint kumbe kijana kaingia kizani ndipo nilipokumbuka alipofinya jicho alimaanisha kama hii picha umeiona subiri na part 2 bint katika kipimajoto ana mia 5 bill ilikuwa 6000 akabidi watu wadhamini pambano.
 
The guy was a real man big up to him
 
Back
Top Bottom