Sio uongo ni Kweli imetokea Angalia Picha vizuri.

Sio uongo ni Kweli imetokea Angalia Picha vizuri.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
r.jpg
[h=3]Attaching Newborn Baby to Wedding Gown[/h]
 
Mkuu umenishtua, umejuaje kama ni mwaka mmoja? Dah, wewe kweli UNAPITA

Habari yenyewe ndo inavyosema kuwa ni mtoto wa mwaka mmoja mkuu Napita pita sana Mitandaoni ndo maana mambo kama haya ya matukiombalimbali nakutana nayo sana.
 
Ooyooo hizi ndoa ni za kawaida na ni bora huyu katoto kammoja koliko wengeni ina mitoto hadi mitana na utawasikea wanapitishia michango ya arusi na huku washaza mitoto mitana hivi hapo tena ndo kuna harusi au uzuzu
 
atakuwa amechorwa kwenye shela sio mtoto wa kweli...angekuwa wa kweli angeshatimka hapo na kilio juu
 
atakuwa amechorwa kwenye shela sio mtoto wa kweli...angekuwa wa kweli angeshatimka hapo na kilio juu

A woman came under serious fire for attaching her 1 month old baby to her wedding dress and walking to the alter during her wedding ..He reason was, she wanted him to be part of the wedding.She made it across several news sites after the picture was posted on facebook and many slammed her for not just carrying the baby in her arms..
 
Back
Top Bottom