SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,054
- 2,840
Chit Chatters hii haina tofauti na game ambazo tumekuwa tunacheza hapa kila siku..Ila hii inatumia maneno yakuunganisha 'sio tu kwamba...bali pia (Not only...but also)..Lakini kwa game hi tutakuwa tunatoa sifa za Jamii Forums (kwa mujibu wako wewe lakini)..yaani tuhakikishe tumemaliza sifa zote zinazofaa kuelekezwa kwa hii forum..Nitatoa mifano miwili na wengine mtaendelea..Weka sentensi moja ili na mwenzio apate cha kuchangia..lol!
1.Sio tu kwamba JF ni shule bali pia ni kisima cha burudani..
2.Sio tu kwamba JF ni sehemu ni kisima cha burudani bali pia ni kaa la moto kwa wanaCCM..
Endelezeni wakubwa kumwaga misifa ya JF ili Maxence Melo aongeze maubunifu!!!
Tchao!

Last edited by a moderator: