Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,397
- 29,535
Labda kwa sababu sare za chadema zinafanana na zao.
Aisee nauli ya KLM mpaka the Hague ni kiasi gani?
Aisee nauli ya KLM mpaka the Hague ni kiasi gani?
Aisee nauli ya KLM mpaka the Hague ni kiasi gani?
Mara zote Mabomu ya mAchozi huwa yanalipuliwa kwenye mkusanyiko wa watu ili kuwatawanya, sasa hapo haonekani mtu wala kikundi chochote, hayo mabomu yalikuwa yanafyatuliwa kwa kwa minajili gani?Aisee nauli ya KLM mpaka the Hague ni kiasi gani?
Mkuu hawa polisi nadhani watakuwa wamechaguliwa kwa sababu inaonyesha wazi kabisa hata wenyewe wana chuki na CHADEMA. Sijawahi kuona polisi wanawatawanya watu kwa kupiga bomu ndani ya ofisi...Namsifu sana huyo mwandishi anayechukua picha.
Lakini namshangaa sana huyo policcm anayefytulia bomu la machozi nyumba, hivi huyu ana akili sawasaw kweli.Ndhani police wetu inabidi wapimwe akili, kwani haingii akilini kupoteza kodi zetu zilizotumika kununua hilo bomu halafu huyu mjinga anapiga nyumba bomu la machozi!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Lakini pia tumepewa taarifa kuwa CDM waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani, kwa kuangalia hiyo picha tafsiri ni kwamba hata hiyo ya ndani wao polisi hawakubaliani nayo???????????
Labda watu wameshakimbia baada ya kulipuliwa la machozi??Mara zote Mabomu ya mAchozi huwa yanalipuliwa kwenye mkusanyiko wa watu ili kuwatawanya, sasa hapo haonekani mtu wala kikundi chochote, hayo mabomu yalikuwa yanafyatuliwa kwa kwa minajili gani?
Nimetafakari sana kauli ya Waziri wa mambo ya ndani, Nchimbi, alipoulizwa na waandishi wa habari iweje mikutano ya CCM haikuingiliwa na polisi siku hiyo hiyo Chadema walipopigwa Iringa na mwandishi kuuwawa, akasema alimuuliza Mukama akaambiwa ile ya CCM ilikuwa mikutano ya ndani. (Angalia picha uone mkutano mmojawapo "wa ndani" wa CCM ulivyokuwa, na watu wengi zaidi ya ule wa CHADEMA Iringa)
Ukiangalia picha za tukio la Iringa (angalia picha nimeambatanisha), utaona waziwazi kwamba CHADEMA wamepigwa na mwandishi kuuwawa katika eneo la ofisi ya CHADEMA, na bendera ya CHADEMA ikipepea katika mojawapo ya majengo ya hilo eneo. Taarifa zinasema polisi walikuwa wanatupa mambomu ndani ya ofisi ya CHADEMA, dhidi ya watu waliokuwa ofisini.
Sasa je, hili suala la kuzuia maandamano ya CHADEMA, na kuruhusu mikutano ya ndani ya CCM siku hiyo hiyo moja linakujaje?
Na iweje Waziri Nchimbi anamuuliza Mukama badala ya kuwauliza polisi kwa nini hawakuzuia mkutano wa CCM? Alitegemea jibu gani toka kwa Mukama?
Mie si mwanachama wa CCM wala CHADEMA, lakini nasema wazi, SIO SIRI, POLISI WANAWAONEA CHADEMA, WANAWAPENDELEA CCMView attachment 63963View attachment 63965
Namsifu sana huyo mwandishi anayechukua picha.