John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 212
- 187
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita akili bandia ni kupoteza maana halisi ya Ai artificial intelligence. Neno kwenye maana Bora iitwe AKILI MBADALA.
Tumekuwa na utamaduni wa kutafsiri neno Kwa neno hayo ni makosa ya matumizi ya lugha.
Lugha hutafsiriwa Kwa neno Kwa maana.
Tumekuwa na utamaduni wa kutafsiri neno Kwa neno hayo ni makosa ya matumizi ya lugha.
Lugha hutafsiriwa Kwa neno Kwa maana.