Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,993
We subiri utaona..Kama sikuweza Toka Niko mdogo nitaweza now. Labda useme nitapata longevity na amani ya moyo Kwa kuona am part of people.
Emb naomba tuweke pembeni "ukanisa" na negativity. Tuangalie the bright side of it. Sio kwenda tu kabisa ambalo hakina mwelekeo, sio kufuata watu wanasemaje, sio kufuata Imani ya mtu mwingine. Ni kufika level ya kujua positive emotional, and spiritual aspects tuzipatazo.Katoliki sadaka zinakusanywa zinapelekwa sijui vatican halafu zinasaidia maskini vichekeshoo!! Kwanini hizo sadaka zisianze kusaidia mitaji kwa waumini wasiojiweza hapohapo kwenye kanisa husika?
Walokole nao eti nyanyua mikono juu nikuombee ununue gari miaka nenda rudi hayo magari hatuoni wakinunua.
Kama maisha mazuri yanapatikana kanisani iweje wanaofanikiwa hawashindi kanisani?
Wewe si umesema kua umeniprove wrong mimi?Kwa hiyo unataka nikwambie Nini hasa na unajua kinacho endelea.
Sio kila imani ni ya kuifata! Jifunze kuchanganua mambo tofauti na hapo kila siku utakua lile kundi linalowanufaisha wengine.Yes, that's your choice kutokana na mtazamo wako. Ila tambua generation zote Zina thrive because of a belief of connection. You're right Kwa perspective
Anza wewe kunitajia hizo faida za kwenda kanisani sababu mimi sijaziona.Emb naomba tuweke pembeni "ukanisa" na negativity. Tuangalie the bright side of it. Sio kwenda tu kabisa ambalo hakina mwelekeo, sio kufuata watu wanasemaje, sio kufuata Imani ya mtu mwingine. Ni kufika level ya kujua positive emotional, and spiritual aspects tuzipatazo.
Halikuwa swala la Imani to begin with, wewe ndo umeliletaSio kila imani ni ya kuifata! Jifunze kuchanganua mambo tofauti na hapo kila siku utakua lile kundi linalowanufaisha wengine.
Mbona zipo kwenye mada.Anza wewe kunitajia hizo faida za kwenda kanisani sababu mimi sijaziona.
Hizo contrast ndizo hata Mungu kaziweka kwa kusudi la asili ili wenye upeo waelewe maana halisi ya kusudi la uwepo wao,duniani ni mahali pa kuelewa maana hata uwapo gizani,ni mahali pa makamnda wa roho kuzisoma alama za nuru katikati ya giza na kelele za dunia,wewe ni moja wapo wa kelele za dunia,wewe ni mojawapo ya walio gizani wakashindwa kuona misimbo ya kupita ili utoke vitani ukiwa salama…kila aina ya maisha unayoyajua yanahitimishwa na nukta ya kifo,bado huelewi kuwa huna udhibiti na jeuri ya kiburi chako? Any way utakapofumba macho jumla kamwe hautarudi kutusimulia utakacho kiona,ila utakuwa umeelewa kuwa Mungu ni hadithi ama chanzo cha uhai- kila siku kila kona ni misiba tu bado huna hofu kwamba angalau uitafute maana ya uwepo wako kabla hujafutwa katika orodha ya walio hai.That's the point. Halikua lengo langu kueleweka. Nimeweka contrast makusudi. Kila mtu aone which is which Kwa upeo wake
Sasa hizo faida mbona hata serikali ikiwa bora unazipata?Mbona zipo kwenye mada.
Nakuelewa, ephen.Sasa hizo faida mbona hata serikali ikiwa bora unazipata?
Familia yako ikiwa bora mbona amani, ushirikiano utavipata?
Ukienda kanisani kumejaa watu wenye msongo wa mawazo na shida za hapa na pale wanachosaidiwa kanisani ni kupewa matumaini tu ambayo naipa jina tiba ya muda mfupi.
Ukitaka tiba ya muda mrefu boresha familia yako, mahusiano yako na jamii, serikali ikiwa bora huduma za afya zitakua nzuri na uchumi utakua bora watu hawatoenda kushinda makanisani kusubiria Mungu awabariki magari na nyumba.
Kwa wanaomuamini Mungu popote unaweza kusali sio lazima kanisani, muhimu ni mtu kua na matendo mema sababu matendo ndo yatakayokupeleka mbinguni na sio ulihudhuria kanisani mara ngapi.
Wajinga ndo waliwao...
Kwanini Imani isiwe jambo binafsi. Je ni Mungu Gani unayemwongelea hapa?Hizo contrast ndizo hata Mungu kaziweka kwa kusudi la asili ili wenye upeo waelewe maana halisi ya kusudi la uwepo wao,duniani ni mahali pa kuelewa maana hata uwapo gizani,ni mahali pa makamnda wa roho kuzisoma alama za nuru katikati ya giza na kelele za dunia,wewe ni moja wapo wa kelele za dunia,wewe ni mojawapo ya walio gizani wakashindwa kuona misimbo ya kupita ili utoke vitani ukiwa salama…kila aina ya maisha unayoyajua yanahitimishwa na nukta ya kifo,bado huelewi kuwa huna udhibiti na jeuri ya kiburi chako? Any way utakapofumba macho jumla kamwe hautarudi kutusimulia utakacho kiona,ila utakuwa umeelewa kuwa Mungu ni hadithi ama chanzo cha uhai- kila siku kila kona ni misiba tu bado huna hofu kwamba angalau uitafute maana ya uwepo wako kabla hujafutwa katika orodha ya walio hai.
Ungeelewa kuwa hii post ni kama fumbo, ni kama muamsho, wala usinge jikita kwenye dini na Imani. It's none of thatSio kila imani ni ya kuifata! Jifunze kuchanganua mambo tofauti na hapo kila siku utakua lile kundi linalowanufaisha wengine.
Thibitisha uwepo wakeHey Mungu yupo.amini hivyo
Na ukianza kwenda naamini utauona uwepo wake😊
Utasurrender mwenyewe 😂