Hicho ndo nilichokuwa na maanisha, but not in a toxic way, not in trying to make someone else believe.ugumu wa maisha kutokana na sababu mbalimbali kama vile uvivu n.k,
hufanya wengi nyakati hizi kukata tamaa kabisa ya maisha na kuacha hata imani zao za kidini, huku wakidhihirisha ukengeufu wao kwa kujipiga kifua na kujivika usomi ambao pia, kwa mtazamo wa kawaida kabisa hata hauonekani kwenye wanachojaribu kukiamini baada ya kuasi imani zao za awali. Zaidi sana, kinachoonekana ni ujanja ujanja tu usioeleweka kwa wanaohubiriwa.
kwani ukiwa na imani yako kwa Mungu au usipokua na imani kwa Mungu, kuna haja gani ya kuweweseka na kubabaika na wasiohangaika na una choamini au usicho amini? Si ukomae na maisha yako kwa amani na kusonga mbele kimya kimya tu na itapendeza zaidi?
i think, that's the pointThis guy is just trying to seek public approval,public validation or public confirmation from a crowd,society via social media rather than from within.
Basi siku nyingine jifunze kuandika kuliko kunipasua ubongoUkisoma mada ndo jibu lenyewe
Nimefanya hivyo makusudi maana 99.99% ni mtu yule yule anajitekenya na kujicheka mwenyewe!Huyo uliyemquote sio mleta mada bali ni pacha wake,
Naona alisahau kulog out ili akujibu kwa ID aliyo shushia mada.
😀 😀
It's okay, na hiyo ndo healthy belief.Hata mie natafuta njia ya kuconnect na society kupitia kanisa..
Lakini ukiacha Hilo,Niko kinyume nawe.naamini Mungu yupo Tena ndani yangu licha ya yote nliyopitia na yanayotokea
Nliacha tu kwenda knaisani Kwa sababu zangu binafsi.lakini sijaacha kuongea na Mungu Mimi kama Mimi.
Hey Mungu yupo.amini hivyoIt's okay, na hiyo ndo healthy belief.
Mimi ntaanza kwenda kanisani hasa Kwa ajili ya Mimi. Loved this❤️
Ume mprove wrong nani?Mbona watu Huwa mnachukia nkiproviwa wrong? Mambo ya ID wapi na wapi?
Kwa hiyo unataka nikwambie Nini hasa na unajua kinacho endelea.Ume mprove wrong nani?
Unaweza kuonyesha hilo jambo ambalo umeliprove wrong ili na mimi nilione?
Yes, that's your choice kutokana na mtazamo wako. Ila tambua generation zote Zina thrive because of a belief of connection. You're right Kwa perspectiveNimebahatika kuhudhuria ibada za madhehebu yote yanayopatikana Tz kasoro mashahidi wa yehova.
Nilichogundua makanisa ni sababu mojawapo ya umaskini kwa waumini wake.
Ni nadra sana kukuta mtu ni mgonjwa kanisani halafu kanisa likakusanya waumini kumchangia pesa ya matibabu au kumuhimizA aende hospital, zaidizaidi watamuombea na kumpa matumaini ya uongo! Baada ya hapo watataka mgonjwa atoe sadaka.
Kwanini waumini ni maskini, hohehahe halafu viongozi wao wanajiweza?
Makanisani wamejaa matapeli hakuna wachungaji wa ukweli.
Hasa kwenye dhehebu la walokole kumejaa watu wenye matatizo ya akili.
Naamini Mungu yupo lakini kanisani sikanyaji katuu kumejaa wanafki wa kidini.
Mchungaji anaogopa kufa kwa kusema ukweli! Maajabu