Sio makosa yao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
284,287
738,459
1451376035438.jpg
 
Mkuu @mshana jr nadhani picha kama hizo hazifai kuwepo mtandani. Jaribu kuwastahi watoto.
Hapana mtandaoni watu wanaona picha tu tena hakuna watoto, hapo picha ilipopigwa waliona live watoto wengine wengi tena wadogo kuliko hao
Hili hujawaza vema sijawadhalilisha bali nimeionyesha dunia nini kinaendelea na hata heading inajieleza
 
Huko Temeke haya mambo ni kawaida sana. Nilishangaa sana siku hiyo ... Wazazi & watoto wao kujibinua kwenye hizo ngoma. Sasa, watoto nao wanakopi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom