Mtajua yote ni suala la muda kuna jambo kubwa sana alifanya dhidi ya mama japo ni jambo zuri kwa wapenda haki.Machawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.
Kosa la Nchimbi ni kuwaambia WaTZ wakomae kudai KATIBA MPYA.Machawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.
Makosa yake moja tu hajawai kuwatukaa Mabeberu wanataka kupora Madini yetu na wanataka kuleta Vita nchi na Hajawai kusema Walioandama ni Vijana kutoka nchi jirani na hajawai kusema Hakuna Wananachi aliyekufa October 29, Yani kosa lake kubwa hjawahi kuzungumza kuhusu Mauji ya October kwa kuitetea Serikali, Tofauti na Viongozi wenzake wakina MWINGULU, WasiraMachawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.