Sio lazima uwe na dish kuuubwa.

Sio lazima uwe na dish kuuubwa.

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi
 
Yanapatikana wap na ni garama kiasi gan kuweka??Nahtaji hyo kitu tafadhali
 
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi
HiZo receiver za MPEG4 zinauzwa wapi mkuu?
 
Je kwa dish la dstv inawezekana pia kufanya hivyo. inawezekana mkuu km dish la dstv unalo na linatumika inachotakiwa kufanya hapo ni kuwa na hiyo receiver ya mpg4 na kuwa pia na lnb aina ya k u ya twin hapo dstv utaendelea nayo na hizo na nilizozielezea pia zitaonesha kwa maana ya dish moja ila ndani una dercoder na receiver na vyote vinafanya kaazi sijui km nimekujibu vzr mkuu?
 
Hizo receiver za MPEG4 zinauzwa wapi mkuu? Kwa walio dsm unaweza kuzipata k.koo kwenye maduka km mussa electronics na levi electronics japo mkuu ukizipata usikose kuwasiliana nami kwa ajili ya mambo ya ufundi
 
10373]Yanapatikana wap na ni garama kiasi gan kuweka??Nahtaji hyo kitu tafadhali Mkuu hapa sijakuelewa kdg tayari unalo dish dogo au huna hata kimoja?
 
Je kwa dish la dstv inawezekana pia kufanya hivyo. inawezekana mkuu km dish la dstv unalo na linatumika inachotakiwa kufanya hapo ni kuwa na hiyo receiver ya mpg4 na kuwa pia na lnb aina ya k u ya twin hapo dstv utaendelea nayo na hizo na nilizozielezea pia zitaonesha kwa maana ya dish moja ila ndani una dercoder na receiver na vyote vinafanya kaazi sijui km nimekujibu vzr mkuu?
Sasa mkuu umeniacha kidogo sana, ulisema uelekeo wa dish kubwa. Kwa uelewa wangu mbona huwa naona direction ya dstv dish na dish kuuubwa lina direction nyingine. So help me mtaalam
 
wamadish

Mkuu weka mawasiliano yako...

Gharama za hizo receiver Mpg4; ikiwezekana na brand name yake...

Halafu tujuze, Je na sisi wa Iponyabugali mpaka twende huko Dar K'koo au tunayapataje hayo?!
Umesema sio lazima uwe na dish kuubwa; je hata ft 6 si ni dogo na linafaa? au mpaka hayo ka ya DSTV tu?:ranger:
 
MPG4 Receiver zinapatikana kwa Bei Gani!? Pia nipe Namba yako tafadhali. Nnahitaji hii kitu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi

Jf hatunyimani ujuzi naomba unifahamishe jina la satellite unayoitumia pamoja na uelekeo ikiwezekana frequency pia wanaouliza risiva za mpeg4 zinapatikana madukani kwa sisi wa Mwanza nenda Mzambarauni au JT Electronic
 
39]MPG4 Receiver zinapatikana kwa Bei Gani!? Pia nipe Namba yako tafadhali. Nnahitaji hii kitu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Aya mkuu mawasiliano haya hapa 0788 405060
 
]Sasa mkuu umeniacha kidogo sana, ulisema uelekeo wa dish kubwa. Kwa uelewa wangu mbona huwa naona direction ya dstv dish na dish kuuubwa lina direction nyingine. So help me mtaalam Ni hv mkuu yale madish makubwa ya ft 6 yana uwelekeo tofauti na uwelekeo wa dstv hilo ni kweli lkn uelekeo wa dstv pia una hizo chanel nilizozitaja nilichomaanisha mkuu ni kwamba ukiwa na mpg4 kwanza dish ni dogo la futi3 utakalotumia pili chanel km cnn agape emmanuel na zingine nilitaja ni moja ya faida utakazopata
 
baadhi ya mjina ya hizo receiva ni strong astrovox skybox na kuusu bei wakuu zinaanzia laki 2 na kuendelea maana zipo ambazo ni mpg4 lkn hazina uwezo wa kurekodi na zipo zenye uwezo huo zipo mpg 4 ambazo ni hd so inategemea na choice yako cont ni hizi wakuu 0715100071 na 0788405060
 
Nimekuomba frq za hizo channel au ndo umeingia kibiashara zaidi mkuu.
 
wana jf ngoja niwashauri kitu kuusu mambo ya madish km unahitaji chanel za hp nyumbani na za nnje na huitaji kulipia kwa mwezi hauna haja ya kuwa na dish kuuubwa hapana cha kufanya ni kuwa na receiver ya mpg4 dish dogo saizi km yale ya dstv uelekeo wa dish ni ule ule wa dstv na satelite ni ileile W4 ukifanya auto serch km dish limeshasetiwa utapata itv eatv star tv tbc chanel 10 agape capital pamoja na za nnje km cnn aljazera emmanuel tv muvi tv n.k na kumbuka ya kwamba hakuna malipo ya kila mwezi
Je dish la Zuku unaweza kutumia receiver ya mpg4 uliyonunua mwenyewe?
 
Nakuomba un PM mkuu
nahitaji sana hii kitu.

Back
Top Bottom