Mkuu tanzania hakuna siasa bali kuna uongo tu,it's shame kumuona kijana msomi anajua A to Z about tanzania politics na hali halisi ilivyo sasa, anaishabikia CCM tena kwa hoja nyepesi[emoji26]
Duuh mkuu IQ yako ipo chini sana.... kwa hyo 2015 walitaka kumpigia kura yoyote hata kama ni FISADI?? lakini mwaka mmoja baadae hawapo tayari??? Unatumia utafiti gani kueleza haya?? Kma angekuwa amekataliwa unafkiri ccm wangemzuia asizunguke???Mwaka ule wananchi waliamua kupiga kura,no matter angesimama nani ,na pia kumbuka vyama viliungana,so ishu ya kura nyingi isikuzubaishe akili.kumbuka Dr slaa peke yake alizidiwa kura milioni mbili na kikwete,na hapo vyama havikuungana..na ukisema uwingi wa kura ni kutokana na muungano wa ukawa.hata serikali za mitaa tulipata viti vingi mbona hata Lowasa alikuwa hajaja bado yupo ccm na muda huo viongozi wetu wanatuambia wana ushahidi wa ufisadi wake
Mi nikuache kama ulivo.maana wewe ni mfia chama so hapa hatutaelewana kabisa.mala nyingi kujadili na mtu mwenye mahaba suweziDuuh mkuu IQ yako ipo chini sana.... kwa hyo 2015 walitaka kumpigia kura yoyote hata kama ni FISADI?? lakini mwaka mmoja baadae hawapo tayari??? Unatumia utafiti gani kueleza haya?? Kma angekuwa amekataliwa unafkiri ccm wangemzuia asizunguke???
Mkuu jikite kwenye hoja sio propaganda.... kwa mfano njoo na takwimu kuonyesha lowasa alichangia ukawa kuda maybe wanachama wamepungua au kipi?? Lets be realistic mkuu slaa alipoondoka na zile hoja zake kma kweli wlaimkataa lowasa that was the ryt moment ila kma slaa alipotezewa then jua lowasa wananchi walimkubali
Fafanuapamoja na hilo kuna baadhi ya mapungufu cdm wanayo lakini kushindana na mwenzio ambaye alianza kufanya mazoezi muda mrefu yahitaji nguvu na akili kwa sana.
Eti mpinzani yaani sisi tunalia tupate tune huru na kuruhusiwa mikutano ndio tujenge chama ila wwe unaamini tulishindwa kihalali na ccm?? Kilichotokea morogoro uliona?? We mpinznai gani unaakili za kihafidhina hivi?? Au wwe umezaliwa kwenye AC na umekulia kwenye mansions?? Dumb indeedMi nikuache kama ulivo.maana wewe ni mfia chama so hapa hatutaelewana kabisa.mala nyingi kujadili na mtu mwenye mahaba suwezi
Afafanue nini?? We hatuhafanya mikutano ya hadhara toka 2015 ulitegemea sera zetu wataziskia wapi watanzania??? Afu tukishindwa unasema tumeshindwa kihalali??? Ur insane brother as in seriously u gotta see a doc indeedFafanua
Acha kufananisha akina Lumumba na vitu vya kijinga babu.harafu kutukana sio jadi yangu am sor,mi na wewe hatuwezani.wewe unaishi kwa kukalilishwa na viongozi ila mimi natumia ubongo.kwa hiyo ulitaka Dr.slaa ayarudie matapishi yake? Seriously?Afafanue nini?? We hatuhafanya mikutano ya hadhara toka 2015 ulitegemea sera zetu wataziskia wapi watanzania??? Afu tukishindwa unasema tumeshindwa kihalali??? Ur insane brother as in seriously u gotta see a doc indeed
Eti mpinzani yaani sisi tunalia tupate tune huru na kuruhusiwa mikutano ndio tujenge chama ila wwe unaamini tulishindwa kihalali na ccm?? Kilichotokea morogoro uliona?? We mpinznai gani unaakili za kihafidhina hivi?? Au wwe umezaliwa kwenye AC na umekulia kwenye mansions?? Dumb indeed
Mkuu shida IQ yako ipo chini sana afu pia hunaga msimamo kabisa eti unajiita chadema huku unaamini slaa alionewa?? Unanishangazaga sana.
Eti uko chadema afu unaamini tulishindwa uchaguzi kihalali yaani hta data huna kabisa kutoka jikoni???
Mkuu unafki ni kitu kibaya sana we kma unajiita mpinzani afu unasema huwezi kurisk kufa kisa kampeni as if kina lumumba hawakufa kisa siasa iweje ujione upo chadema wakati hutaki kurisk maisha na interest zako?? Kwa hyo maslahi yako ni bora kuliko ya taifa na wananchi wote kwa ujumla??
Toka siku unamtukana marehem wa bavicha kule muleba nimekudharau sana kiukweli uwezo wako wa kufkiri na kuchambua mdogo sana....
Eti nina mahaba jibu hizo hoja sio unijibu mimi yaani hujibu hoja unakimbilia kusema nina MAHABA so nikiwa na mahaba hoja zangu ndo hujibu ama??? Such a dull piece of sh**t
Tuthibitishie juu ya usemi wako huo kwamba Lowasa na watajwa wengine ndo hawakutaka tume huruLowasa,kingunge,bulaya,lembeli na wenzao wa ccm ndio hawakutaka tume huru.
Jibu hoja zangu acha kuzungukaAcha kufananisha akina Lumumba na vitu vya kijinga babu.harafu kutukana sio jadi yangu am sor,mi na wewe hatuwezani.wewe unaishi kwa kukalilishwa na viongozi ila mimi natumia ubongo.kwa hiyo ulitaka Dr.slaa ayarudie matapishi yake? Seriously?