Sio kweli kwamba CCM inategemea dola na NEC ili ishinde

kuwa na macho haimaanish kuwa lazima uwe unaona................kama unashndwa kuona utofauti wa jinsi wanavyodeal na CCM na vile wanavyodeal na wapinzani basi utakuwa una matatizo makubwa sana.........inawezekana kweli upinzan ukawa dhaifu but huwez kuneglect effect ya hvyo vyombo ulivyovitaja kwe ushnd wa ccm
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.

Kuandika unaweza ila kufikiri ziro, moja wewe siyo mwanachama wa chadema, mtu alieysoma Psychology hata ya cheti anakugundua kwa uandishi wako. Pili kama unaamini ccm inapendwa na watanzania hofu yanini kukutaa kuwepo tume huru? ni ipi nchi ya Africa wapinzani wamewahi kushinda bila tume huru? kama unaamini tume iliyopo yaweza kutenda haki vipi Zbar mbona Jecha hakumtangaza mshindi aliyeshinda? hivi roho ya shetani imewaingia sana?
 
Siasa ni maisha na maslahi ya watu, sio sehemu sahihi ya kupiga mbizi, wanaoijua siasa ni wale wanaonufaikanayo, sio wapiga debe kindakindaki. Siasa ni kazi za watu.
 
images

View attachment 463525

images

View attachment 463528

Sema lingine!
Umehitimisha mjadala vizuri
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Wewe ni ccm damu kabisaaaa huku chadema anaangazaangaza macho uone kama Kuna misosi
 
Kwanini hutaki tume huru?
Anzisheni chama kimoja cha upinzani ndio itakuwa kipimo kizuri bila hivyo hata ije tume ya chadema mtazidiwa tu.Hizi kelele za tume ni sawa na ujanja wa mbuni kujificha kichwa kubakisha matako nje
 
Umeishiwa wewe eti tumegaragazwa hivi kusoma ujui hata picha huoni,uhuru na demokrasia upo wapii ikiwa ukipiga kampeni na kuongea ukweli unashikwa, mawakala wanachukuliwa na polisi, masanduku ya kura zilizopigwa yanaingizwa kwenye uchaguzi ukiuliza polisi wanakuchukua, viongozi wakurugenzi siku ya uchaguzi wanaingia vituo vya kupiga kura,wakala akiuliza anapigwa pingu bado unaongea upuuzi tu eti tumegaragazwa,mwisho kila unaekutana nae anamlaumu mkuu kwa njaa na dhiki Alafu eti awape kura mafisi tafakari kabla ya kuandika.
 
Anzisheni chama kimoja cha upinzani ndio itakuwa kipimo kizuri bila hivyo hata ije tume ya chadema mtazidiwa tu.Hizi kelele za tume ni sawa na ujanja wa mbuni kujificha kichwa kubakisha matako nje
Siyo kila anayetaka tume huru ni CDM ama CUF mkuu, Jaji Lubuva wakati anakabidhi ripoti kwa Rais alishauri kuwe na tume huru, kwa hiyo na Jaji Lubuva aanzishe chama kwa mawazo yako? usijitoe ufahamu wewe ni mtu mzima acha ushabiki wa kizamani, Lowasa na Sumaye walikuwa mawaziri wakuu lakini leo wanalia na tume sebuse wewe ambaye sidhani hata mwenyekiti wa kitongoji wako kama anakufamu.
 
kwa viongozi hawa wababaishaji wa upinzani,hata kuwe na tume huru ya UN hawawezi kuingia ikulu
 
1.Mkuu tusingeacha kushiriki maana mikutano ya kisiasa imezuiliwa hivyo ikipatikana kampeni kama hizi ndio tunatumia kueneza sera na itikadi zetu kwa wananchi.

2.kma lowasa angekuwa tatizo tusingepata kura milion 6 na wabunge wa kutosha yaani iweje watanzania watupe kura nyingi tukiwa na so called fisadi lowasa afu watunyime one year later wakati fisadi huyo huyo bado yupo?? Hamna logic hapo kma udiwani ungechukua data za nchi nzima ambapo tulikiwa na halmashauri 5 na sasa ukawa tuna halmashauri 27+ tena kampeni zilifanywa na fisadi lowasa kwa hyo kma walimkataa i dont think wangetupa madiwani wote hao

3. Tume sio huru hta kma watampa ushindi mbowe au lissu kwa cost ya watu kma kafulila na wenje. Wanaoshinda ni mpaka utumie nguvu sana kma mdee au sikinde yaani uchagyzi ni vita mkuu eisi tulikesha kituoni kulinda kura tukazawadiwa virungu na mabomu afu mwisho wa siku wakampa ubunge mtu wa ccm na hadi leo hakanyagi jimboni maana anajua hatukumchagua ndio nikapata funzo kuwa kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti.....kma wewe unafkiri mbowe angelala usiku wa tarehe 25 angekuwa bungeni leo hii pole....ila ukweli ni kuwa wote hao wamepambana sana ila wenje na kafulila walishindwa na dola ndio maana leo hawapo bungeni

Conclusion......sawa ccm wameshinda ila sio kwa fair ground...wasizuie siasa na waweke tume huru the rest wataamua wananachi 2020
Mwaka ule wananchi waliamua kupiga kura,no matter angesimama nani ,na pia kumbuka vyama viliungana,so ishu ya kura nyingi isikuzubaishe akili.kumbuka Dr slaa peke yake alizidiwa kura milioni mbili na kikwete,na hapo vyama havikuungana..na ukisema uwingi wa kura ni kutokana na muungano wa ukawa.hata serikali za mitaa tulipata viti vingi mbona hata Lowasa alikuwa hajaja bado yupo ccm na muda huo viongozi wetu wanatuambia wana ushahidi wa ufisadi wake
 
CDM imelikoroga sana. Waliyemtangaza fisadi miaka 8 ndiye wanamteua kuwa Mgombea! Mzaha gani huu!!! Ndio maana kwenye akili tumemkataa!!!
Mkapa alipowatukana kwamba ni wapumbavu na malofa vijana wakakubali, ccm iliposema Lowassa ni mgonjwa vijana wakasema wanamtaka huyo huyo, ccm iliposema Lowassa ni fisadi ndio maana hawakumpa ridhaa ya kugombea urais vijana wakahoji kwanini hawakumshtaki? Vijana wakasema wanamtaka hivyo hivyo hata kama ni fisadi na mgonjwa, ccm ilikuwa hoi, tatizo tume tu. Ule mziki wa Lowassa ulikuwa hauna mfano, subirini 2020 muone atakavyowajambisha ccm.

Watu tuliwaelewa wakina Mbowe kipindi mchakato wa katiba, marehemu walipiga kura ya kuikubali katiba pendekezwa! hicho kilikuwa kiroja ambacho hata shetani huenda aliwashangaa sana.
 
it's shame kumuona kijana msomi anajua A to Z about tanzania politics na hali halisi ilivyo sasa, anaishabikia CCM tena kwa hoja nyepesi[emoji26]
 
Ila mbaya zaidi wanaokula matapishi yao. Leo wanasema fisadi kesho mtukufu.shameful
 
Back
Top Bottom