Sio kweli kwamba CCM inategemea dola na NEC ili ishinde

Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Mkuu hujaacha tuu kufikiri kwa kutumia matako??? Badilika bhana[emoji1]
 
Umetengeneza mazingira ya kushinda, ukashinda sasa nafsi inakusuta kwa kuwa unajuwa ulichofanya unataka kuungwa mkono kwa porojo nyepesi hivyo! Vitisho, visasi, marufuku zisizokwisha, kufunga jela viongozi, nk uoni kama kama mchezo unachezwa upande mmoja ! Acha kebehi endelea kusinzia na kipisi cha sigara kqenye kibanda ipo siku SADC watafanya kama ECOWAS!
 
Lowasa sio fisadi.. ila anafanya kazi aliotumwa na chama chetu pendwa CCM
 
na kuna maneno nilisikia eti CCM walisafirisha watu kutoka Mwanza kwenda Zanzibar ili tu wakapige kura pale Dimani.

sasa swali la kujiuliza kama CCM wanaweza kuiba kura na pia wanatumia NEC ili wapate ushindi sa ni kwanini waingie gharama ya kusafirisha wapiga kura hewa mpaka Zanzibar na wakati uwezo wa kushinda kwa wizi wa kura wanao!

upinzani njooni na mikakati imara na wagombea makini sie mbona tutawaelewa tu ila kwa hili la kulia lia kila uchaguzi eti mmeibiwa kura halina tija wala ukweli wowote.

[HASHTAG]#tunamtaka[/HASHTAG] Dr. Slaa.

JIBU
Kwa sababu justification ya ushindi ikitafutwa (kama itatokea ikahitajika na ikabidi itolewe) ni rahisi zaidi ukionyesha kura za watu japo ni magumashi, yaani hawakustahili kupiga kura katika eneo hilo kuliko kuiba halafu ikifuatiliwa inaonyesha wazi kabisa source ya kura hakuna watu waliopiga zaidi ni idadi tu ya kura. Upo hapo?
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Sure
 
Wewe ni ccm kindaki ndaki ambaye ukickia jina la lowasa unaumia sana. Mruhusu miktano ya kisiasa ndio mfunguke macho yenu.
 
Bavaria kwa akili za kawaida tu wapinzani wafanye nini sasa ktk hali hii ya one man show ??!! Nchi za Africa mashariki angalau Kenya kidogo kwingine uendeshaji wa siasa una tegemea sana hisani ya vyama tawala na si haki za kimsingi !!,

Dc na OCD wake Rc na Rpc wake bila kusahau wakurugenzi , vyeo hivi teule kwa hisani ya jumba kuu vitaendelea kuwatesa sana wapinzani hasa hapa Tz. Ni nafasi zinazotumika vibaya

Africa heshima mpaka watu waumizane ndiyo mnaweza kukaa meza ya mazungumzo na kuweka mazingira huru ya ufanyaji siasa.

Wakae chini waangalie nini cha kufanya...

Wapinzani wana nguvu ya kuiamrisha serikali na ikafanya..

Wasikubali kuwa kimya kama makondoo..
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
1.Mkuu tusingeacha kushiriki maana mikutano ya kisiasa imezuiliwa hivyo ikipatikana kampeni kama hizi ndio tunatumia kueneza sera na itikadi zetu kwa wananchi.

2.kma lowasa angekuwa tatizo tusingepata kura milion 6 na wabunge wa kutosha yaani iweje watanzania watupe kura nyingi tukiwa na so called fisadi lowasa afu watunyime one year later wakati fisadi huyo huyo bado yupo?? Hamna logic hapo kma udiwani ungechukua data za nchi nzima ambapo tulikiwa na halmashauri 5 na sasa ukawa tuna halmashauri 27+ tena kampeni zilifanywa na fisadi lowasa kwa hyo kma walimkataa i dont think wangetupa madiwani wote hao

3. Tume sio huru hta kma watampa ushindi mbowe au lissu kwa cost ya watu kma kafulila na wenje. Wanaoshinda ni mpaka utumie nguvu sana kma mdee au sikinde yaani uchagyzi ni vita mkuu eisi tulikesha kituoni kulinda kura tukazawadiwa virungu na mabomu afu mwisho wa siku wakampa ubunge mtu wa ccm na hadi leo hakanyagi jimboni maana anajua hatukumchagua ndio nikapata funzo kuwa kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti.....kma wewe unafkiri mbowe angelala usiku wa tarehe 25 angekuwa bungeni leo hii pole....ila ukweli ni kuwa wote hao wamepambana sana ila wenje na kafulila walishindwa na dola ndio maana leo hawapo bungeni

Conclusion......sawa ccm wameshinda ila sio kwa fair ground...wasizuie siasa na waweke tume huru the rest wataamua wananachi 2020
 
Hizi message ningeoenda mbowe azisome, jamani
 
Maharage gan umekula mkuu..! -Kwanza ww sio Chadema. Maana ungekuwa ungejua kuwa 2015 tulishinda kwa 62% na pia ungejua siasa chafu za ccm. Alafu mtu Muungunwa huwez kumwita Edward fisadi wakati mahakama ya Mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza angekuwa wa kwanza upandishwa uko.. Mafisadi bado wako Ficm kwa wingi kabisa...na wakwepa kodi..
Acha uongo wewe, ndio wataalamu wenu wa IT waliojificha pale Human Rights walivyowadanganya?
 
Mkuu leo hii unakana kwamba Lowasa sio fisadi? Ile list of shame iliyotajwa pale mwembeyanga lowasa hakuwepo? Na Lisu anadai aliandika yeye,je unasemaje hapo?Mbowe alipokuwa anahubiri kwamba Lowasa ni mwizi au ulikuwa hujaanza kufuatilia siasa? Pole sana mfia chama,japo umenitoa kwenye mstari
Kwa hiyo obama ambaye juzi amejutia uamuzi wa kuvamia libya naye atasemaje?? Wakati aliaminisha watu kuwa gadaffi ni lazima atolewe....... mkuu lazma uelewe siasa ipo dynamic sana na kila kitu kinaenda na muda i dont think lowasa angechukuliwa na chadema 2007 ila baada ya miaka almost 8 na bado ufisadi upo tena mkubwa zaidi serikalini lazma ujiulize kma shida ingekuwa lowasa je ufisadi mbona huishi that means thr has to be a problem somewhere..... sasa hapo bado utashikilia bango kuwa lowasa ni fisadi??? Tulimsakama kwa sababu alikuwa kwenye mfumo wa mafisadi ila fisadi mkuu nafkiri wote mnamjua maana sitegemei eti majaliwa aibe pesa afu magufuli asijue neva on earth......
So ukiendelea kumuita lowasa fisadi afu ukamuacha yule FISADI MKUU aliyetufikisha hapa tulipo its ok the choice is urs
 
Acha uongo wewe, ndio wataalamu wenu wa IT waliojificha pale Human Rights walivyowadanganya?
Hata kamati kuu yenu inalijua hilo nyie teteni msichokijua wanawachora tu kina kinana

Sasa unafkiri kma TACCEU pale ofisi za LHRC wangekusanya matokeo kuonyesha magufuli kashinda wangekamatwa?? Je wale wa sinza kina hilda wangekuwa na matokwo kuonyesha ccm imeshinda mngewakamata?? Hahahahahaa so funny
Unafkiri kwanni magufuli anazuia mikutano na kwa sabbau gani?? Unajua kwanni lowasa alizuiliwa kwenda kutoa shukrani?? Unajua kwanni bunge sio live?? Kweli ccm imeshinda
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Upinzani wana makosa hawana is non of our business.Tume huru ni haki ya Watanzania wote,walio na vyama na wasio na vyama.That is the bottom line.
 
Tanzania imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo chini ya CCM. Tuwape miaka 54 zaidi tuone kama Tanzania haijakuwa kama Marekani.
 
Hua hawazungumzii time huru wanaposhinda!
 
Lowasa Lowasa. Jamani. Kama mtu ni fisadi. Kwanini..msimpeleke mahakamani...mnabakia tu Kuongea huku..kwenye mitandao na majukwaa...???!ova
 
Back
Top Bottom