Sio kweli kwamba CCM inategemea dola na NEC ili ishinde

Sio kweli kwamba CCM inategemea dola na NEC ili ishinde

Kabisa.na ndio maana huwa nasema kama Lowasa angeshinda basi tungefanikiwa,lakini kwa kushidwa kwake basi tutegemee pigo kubwa sana.na Mbowe kukiuzuru hawezi na kumtimua Lowasa haiwezekani,na huyo Lowasa anaonekana 2020 atagombea tena,tutegemee kipigo zaidi kutoka kwa mahasimu wetu

Kwa nini unadhani Lowasa ni tatizo?

Zanzibar na ujecha vipi?
 
Chama kimesinyaa....

Vijana hawawezi tena kukosoa.......

Lowassa ilikuwa ni kete mbaya kabisa kuwai kupewa kupeperusha bendera ya chadema maishani kote..........

Lazima tuwe wakweli kuwa Mbowe aliingizwa kingi na wakina Lipumba na Dr Slaa na yeye akakubari kumpokea fisadi wenzie baada ya kuona chumba kinanuka wakakimbia ........

Kiukweli kilichofanyika 2015 ni uhaini dhidi ya upinzani kuleta watu waliokuwa wakishinda makanisani na misikitini wakigawa Rushwa..........

Kamwe hakuna mtu atakuja kusamehewa na watanzania kwa usaliti uliofanyika..........

Option ni mbili Mbowe kujiuzulu au kuwatimua Lowassa na Sumaye lasivyo chama kimfie...........
Mimi nashauri wote waondolewe. Chama apewe baba padre
 
na kuna maneno nilisikia eti CCM walisafirisha watu kutoka Mwanza kwenda Zanzibar ili tu wakapige kura pale Dimani.

sasa swali la kujiuliza kama CCM wanaweza kuiba kura na pia wanatumia NEC ili wapate ushindi sa ni kwanini waingie gharama ya kusafirisha wapiga kura hewa mpaka Zanzibar na wakati uwezo wa kushinda kwa wizi wa kura wanao!

upinzani njooni na mikakati imara na wagombea makini sie mbona tutawaelewa tu ila kwa hili la kulia lia kila uchaguzi eti mmeibiwa kura halina tija wala ukweli wowote.

[HASHTAG]#tunamtaka[/HASHTAG] Dr. Slaa.
Yaani hawaeleweki mkuu.kila wakishindwa wanakuja na porojo.
 
Huna aibu unataka ukweli gani mikutano ya hadhara mnazuia mnaogopa nini?Mawakala wanatolewa maded wanapika matokeo NEC inaleta majina mpaka ya marehemu
Siasa huijui. Hata marekani mbinu kama hizo zipo. Kinachotakiwa ni kushinda. MaDED hawapiki matokeo. Wanapikia wapi wakati uwakilishi uko kila mahali. CDM mbeya serikali za mitaa aalifinga magoli mengi sana ya mkono lakini CCM walinyamaza kwa sababu wanajua goli ni goli hata la mkono madam refa hajaona. Kama ni rafu chadema wanaongoza. Ila wana mbinu changa. Poleni sana.
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Maharage gan umekula mkuu..! -Kwanza ww sio Chadema. Maana ungekuwa ungejua kuwa 2015 tulishinda kwa 62% na pia ungejua siasa chafu za ccm. Alafu mtu Muungunwa huwez kumwita Edward fisadi wakati mahakama ya Mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza angekuwa wa kwanza upandishwa uko.. Mafisadi bado wako Ficm kwa wingi kabisa...na wakwepa kodi..
 
Chama kimesinyaa....

Option ni mbili Mbowe kujiuzulu au kuwatimua Lowassa na Sumaye lasivyo chama kimfie...........

Option ni moja tu, wamfukuze Lowasa na makapi yake waliyotoka nayo CCM.

Chama kirudi kuwa vilevile kama mwanzo..
 
Habari wanabody,nadhani wengi mnafahamu ya kwamba mimi ni chadema.lakini sio chadema kindakindaki yaani sio mfia chama.inapotokea kukosoa huwa nakosoa tu.nirudi kwenye mjadala sasa.juzi kulikuwa na chaguzi ndogo.ni wazi UKAWA tumegalagazwa vibaya sana na ccm.hii ni ishara mbaya kuekea 2020 na ni kengele nyekundu huko tuendako.tukubali tukatae ni kwamba makosa yaliyofanyika mwaka juzi 2015 ya kumpokea fisadi na kisha kumzungusha nchi nzima kama mgombea ndio yatakayotugharimu.kwa hiyo zile porojo wanazotoa baadhi ya watu kwamba mara tume sio huru,mara ccm inategemea dola mimi huwa napingana sana.kwanza kwa nini uingie kwenye mashindano ambayo una mashaka nayo? Na pia kama ingekuwa ni hivo basi watu kama akina Tundu Lisu,Lema,Mbowe n.k wazingekuwa wabunge leo hii,kwa sababu wangeporwa ushindi wao.kwa nini wapinzani hatupedi kukubali kwamba tumezidiwa kete? Yaani wewe ukae uzungushe mikono hewani harafu utegemee ushindi?kwa hiyo hao madiwani,wabunge,wenyeviti wa mtaa,vijiji na vitongoji wa Ukawa walishindaje? Tuache porojo.makosa tunayo wenyewe ya kubadili gia angani ndio yanatugharimu sasa.
Zile kiki mnazitumia kwann kila unapofka uchaguzi wanaongezeka mtaani migari mikubwa mi kubwa utadhani tupo syria....... Alafu kaa kimya tu inaonekanaa na wewe kidampa weny3we wanajua vizuriiiii mchezo wao,,,,,, kwani hujackia dimani uchaguzi jimbo moja tu mpaka jwtz walikuwepo!! Just mute.
 
Zanzibar sio ujecha,ni kosa la maalimu seif kujitangazia ushindi,kinyume na sheria

Adhabu ya mtu kujitangazia ushindi ni ipi kwa mujibu wa sheria za nchi?

Alijitangazia ushindi una uhakika?

Kujumulisha na kukariri matangazo yaliyokuw ayakitolewa na tume ndiko unakuita kujitangazia ushindi?

Jecha alifuta uchaguzi kwa mamlaka ya kifungu gani cha katiba?
 
Option ni moja tu, wamfukuze Lowasa na makapi yake waliyotoka nayo CCM.

Chama kirudi kuwa vilevile kama mwanzo..
Bavaria kwa akili za kawaida tu wapinzani wafanye nini sasa ktk hali hii ya one man show ??!! Nchi za Africa mashariki angalau Kenya kidogo kwingine uendeshaji wa siasa una tegemea sana hisani ya vyama tawala na si haki za kimsingi !!,

Dc na OCD wake Rc na Rpc wake bila kusahau wakurugenzi , vyeo hivi teule kwa hisani ya jumba kuu vitaendelea kuwatesa sana wapinzani hasa hapa Tz. Ni nafasi zinazotumika vibaya

Africa heshima mpaka watu waumizane ndiyo mnaweza kukaa meza ya mazungumzo na kuweka mazingira huru ya ufanyaji siasa.
 
Basi tusiingie kwenye uchaguzi
 
Zile kiki mnazitumia kwann kila unapofka uchaguzi wanaongezeka mtaani migari mikubwa mi kubwa utadhani tupo syria....... Alafu kaa kimya tu inaonekanaa na wewe kidampa weny3we wanajua vizuriiiii mchezo wao,,,,,, kwani hujackia dimani uchaguzi jimbo moja tu mpaka jwtz walikuwepo!! Just mute.
Sasa kwa nini tunaingia kwenye uchaguzi ambao tunajua hatutashinda?[emoji2]
 
Maharage gan umekula mkuu..! -Kwanza ww sio Chadema. Maana ungekuwa ungejua kuwa 2015 tulishinda kwa 62% na pia ungejua siasa chafu za Ficm. Alafu mtu Muungunwa huwez kumwita Edward fisadi wakati mahakama ya Mafisadi imekosa kesi ya kusikiliza angekuwa wa kwanza upandishwa uko.. Mafisadi bado wako Ficm kwa wingi kabisa...na wakwepa kodi.. Kaskazini itatoa tu Raisi siku ikifika.
Mkuu leo hii unakana kwamba Lowasa sio fisadi? Ile list of shame iliyotajwa pale mwembeyanga lowasa hakuwepo? Na Lisu anadai aliandika yeye,je unasemaje hapo?Mbowe alipokuwa anahubiri kwamba Lowasa ni mwizi au ulikuwa hujaanza kufuatilia siasa? Pole sana mfia chama,japo umenitoa kwenye mstari
 
Basi tusiingie kwenye uchaguzi
Ukiacha wewe kuna vyama vitatengenezwa ionekane uchaguzi umefanyika na umeshirkisha vyama vingi tena ukiwa huru. Angalia yaliotokea Zanzibar pamoja na vyama makini na vyenye nguvu kugoma kushiriki lakini vilikuwepo vyama na vilishiriki na pamoja na kukosa hata kura leo wako serikalini kama mawaziri so is complicated
 
Back
Top Bottom