Mi nilifikiri ujumbe ni kuruhusu bangi ivutwe kwa uangalifu na kujitambua... ukiwa na malengo kama Obama basi kuna wakati utaacha tu uendelee na maisha!...
Mi nilifikiri ujumbe ni kuruhusu bangi ivutwe kwa uangalifu na kujitambua... ukiwa na malengo kama Obama basi kuna wakati utaacha tu uendelee na maisha!...
Kwani wewe una mtazamo gani?!... tupunguze wigo wa vita ili tushinde au tupanue wigo uwe mpaaana hadi tushindwe kuudhibiti?!... Bangi ni mmea unaotumika kwa mambo mengi... mboga, dawa, unatumika kutengeneza baadhi ya dawa. Kama kungekuwa na utaratibu mzuri wa kuchukuliwa kwa kutengenezea dawa muhimu nafikiri fedha za mmea huu zingeifaidia serikali...