Sio kwa dongo hili!!

Siyo kweli
Ujue mwenyewe umeamua ujinga huo
 
Furaha ya yangu ya kwanza ujumbe huu umeletwa humu na mwanamke.

Kingine, pizza eating bandits with no dreams lazima iwaingie hii ukiongeza na huo mfano.
 
wewe subir wakianza kufunga milango ndio utajua umuhimu wake
Duuuh!! Ila mkwe wengine hata hawahitaji kuwahurumia hivyo maana hata wao hawajihurumii(speaking out of experience)
 
Duuuh!! Ila mkwe wengine hata hawahitaji kuwahurumia hivyo maana hata wao hawajihurumii(speaking out of experience)
Seems u know much mkwe i think i shoud find u privately.
 
I see!!
Kwahiyo Obama mwenyewe was daring ndio maana akafika pale alipofika, kwahiyo uonyeshe nia kwanza then mwenzio akusaidie. Lakini pia unaweza ona potential ya mtu ukamsaidia kuifuata.
 
hahahahah nimecheka balaa aisee huyu Malema sijui alifikiria nini
Alivyomalizia ndio nilicheka kweli, maana sio kwa sala hiyo!!
 
Reactions: kui
Seems u know much mkwe i think i shoud find u privately.
Hahaaaaa!! Utu uzima dawa mkwe, i once dated that kind of guy, nilinyoosha mikono juu mwenyewe maana hajihurumii hata kidogo.
 
Hahaaaaa!! Utu uzima dawa mkwe, i once dated that kind of guy, nilinyooha mikono juu mwenyewe maana hajihurumii hata kidogo.
Kwahyo hapa ulikua unakula misumar au milango na madirsha?
Thats good to heear naona busara zako kama old wine the more the age the better the taste.
 
hahha na wanasema dua ya mdhulumiwa huwa hairudi,sasa huyo aliyekula rand ya Malema ajiandae na matokea ya hiyo sala yake

Yaani ukiiiona hiyo sala utatamani urudishe rand za watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…