Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,470
- 45,765
Hapana ni picha tu, nimezikuta kwenye pinterest.ok, yanaitwaje haya majiko? na huwa yanauzwa ama ndio yako sokoni?
Ubunifu mzuriGood idea! Nimeyapenda
Sana aiseeUbunifu mzuri
Kweli ni kwa ajili ya outdoor tu na matumizi mengiLakini si rafiki kwa mazingira,na pia hayabani bajeti maana yanatumia mkaa mwingi sana na hata kuni.
Ubunifu mzuri
Naona kwa msosi wa watu wengi tu kama arusi nkMbona yapo inefficient..