Wakuu matumaini yangu wazima, Wote mtakumbuka katika hotuba ya bajeti ambayo imeanza kutekelezwa Julai mosi 2023 tuliambiwa kuwa Magari ya umeme hayatakua na kodi.
Serikali ya CCM ilienda mbali ikasema ni kwa ajili ya uifadhi mazingira. Leo katika pitapita yangu nikasema ngoja niijaribu calculator ya Magari ya TRA inasemaje kuhusu magari ya umeme, nilichokipata Mungu tu ajua.