Sio kila taarifa Nyeti inamfikia Rais

Sio kila taarifa Nyeti inamfikia Rais

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,171
Kikawaida kwa mujibu wa sheria Mkuu wa ujasusi wa nchi husika au wakati mwingine Chief of presidential staff anawajibu wa kupeleka taarifa nyeti na za muhimu kwa Rais. Lakini hawa hawa wakuu wa vitengo vya ujasusi kuna muda si kila taarifa watamfikishia. Na hata wakimfikishia inakuwa imepotoshwa kwa kiasi fulani "chicken feed".

Sababu hii ya kutofikisha kila taarifa nyeti kwa Rais inaweza pia kuchangiwa na I.Q. ya Rais mwenyewe. Na Sio kila Rais anaweza kujisimamia au kuvaa mikoba ya urais.. kuna muda anawekwa tu mtu pale kwa ajili Ya "maslahi" fulani fulani ya wale 1% wanaokula keki ya taifa. Sasa mtu wa namna hii sio kila jambo nyeti atapelekewa kama taarifa. Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo ila uhalisia nyuma ya pazia ni tofauti.
Nakupa mfano .

Kwenye mchuano wa kuwania kiti cha uwaziri mkuu wa uingereza, wa mwaka 1984, MI6 walikuwa na taarifa kwamba kiongozi wa upinzani na pia aliyekuwa anapeperusha bendera ya chama cha Labour Michael Foot , alikuwa kwenye Payroll ya Urusi "KGB" kuanzia miaka ya 1960s.. siri hii ilitosha kumwondoa kama mgombea .. lakini Thatcher hakuwahi ambiwa hadi alipofanikiwa kutetea kiti chake na kuchaguliwa tena muhula mwingine akiwa na chama chake cha Conservative... waliepuka "mdomo" na kupata aibu ya mwaka. mdomo.. friji haligandishi.. waliona fedheha kwamba Urusi imepandikiza mtu hadi kwenye siasa za juu za uingereza
 
1755335082538.jpeg
 
Ndo inavyo takiwa

Yeah man... uko sawaa oabisa📍📍📍📍
 
Inafika yenye maslahi tu mkuu kwa hulka ya mtu hasa mweusi!

Hata mwanao nyumbani kwako anakuletea vile utakavyomsifia navyo tu, vingine anafunika kimsingi hata mkeo...

Vya ukweli na vinavyouma tunamtuma mwashamba aje kusifia hapa na chawa wengine kina tilaliah, ChoiceVariable nicolasmmari, dr wa manesi, na chawa wengine kwa vyeo vyao, itifaki imezingatiwa!
 
Na wo

Na wote tuseme Ova!
 
Back
Top Bottom