donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
nataka kujua bei yake tu na mimi nijipange nikaa nunue
nataka kujua bei yake tu na mimi nijipange nikaa nunue
Hapo ni chupa moko tu au?80,000 dar es salaam
Shukran mkuuHongera mkuu
Pamoja mkuu ila umestaafu kikosi gani? Hahaha, I'd ya mshua wako hiyoSawa bhana
Shukran chiefHongera mkuu
Hahahahah, mkuu chemi cola? Hahahahaha
EvrywherBelaire here, Belaire there
We gotta have Belaire everywhere
We jamaa unaonekana bishoo sanaBelaire here, Belaire there
We gotta have Belaire everywhere
80 kakanataka kujua bei yake tu na mimi nijipange nikaa nunue
We jamaa unaonekana bishoo sana
Aaah wewe wa kishua. Nambie una fifa 18 au pes 18?Hamna kawaida tu mkuu
mkuu hamna kitu pale Belaire ina ladha kama ulanzi hivi tena uliolala (mkangafu)