Sio kila mtu anaweza UTAFUTAJI na sio kila mtu anaweza UENDESHAJI

Sio kila mtu anaweza UTAFUTAJI na sio kila mtu anaweza UENDESHAJI

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile alichopata, anatetereka.

Kuna mtu yeye usimamizi na menejimenti ya mali, funds na resources ndio mahali kwake, wewe muweke popote na kiasi chochote ndani ya muda mfupi utakuta ame mulitiply, ila sasa mwambie aingie field, ataishia kutapa tapa.
 
Back
Top Bottom