Sio kila mtu anahitaji msaada wa pesa hasa wanawake

Sio kila mtu anahitaji msaada wa pesa hasa wanawake

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,737
Reaction score
81,807
Huwa nawashangaa vijana wanaopambana ili kuwapa wanawake pesa, honestly they know nothing kuhusu maisha.

Mtu ambaye anatembea na wanaume tofauti ili tu apate kula, kuvaa na kulipa kodi au bills zake then akiachwa huku akakimbilia kule.

Fahamu tu kuwa watu kama hawa akili zao zipo broke that way katika maisha yao, wanaamini wao hawawezi kujikomboa kiuchumi hadi wajiegeshe kwa wanaume.

So, unapokutana na mwanamke anaomba omba msaidie kumkomboa fikra zake kwanza ili ajitambue na sio kumpa hela ambazo hazimsaidii, anaishia kununua vipodozi ili ajipodoe na kujichubua ili kuongeza mvuto kwa wanaume na sio kuwa authentic.

So mpatie pesa mtu anayejua umuhimu wa pesa, hapo pesa yako ndo itakuwa na maaana.
 
"Watu Kama hawa Akili zao zipo broke that way katika MAISHA yao wanaamini wao hawawezi kujikomboa kiuchumi Hadi wajiegeshe kwa wanaume"
Wanawake wote wapo hivyo na kamwe hawawezi kujitegemea kiuchumi ni lazma wa act uparasite, usijisumbue nao mkuu.
 
Wakina mama mostly wanaendeshwa na emotions so wanahitaji sn ufariji kuliko kitu chochote,haya mengine yanakuja automatic ndio mana utasikia ngoja niende kwa shoga yangu. .means she is going to get advice toka kwa rafiki yake. ..emotions.
 
Mambo yao waachie wenyewe, hayanaga muongozo...
 
Back
Top Bottom