Sio kila EX ni expired zingine ni example

Sio kila EX ni expired zingine ni example

Tunaishi katika jamii iliyojaa unafiki. Hulka na desturi zetu haziamini katika mambo mapya. Haishangazi kuona hata mitumba ikizuiwa nchi inatikisika. Ndio maana aliezoea kula ndizi ukimpa ugali anasema hashibi, mweye kuzoea ugali ukimpa magimbi hataki. Jamii isiyo "reason" zaidi na zaidi ni kuishi kwa mazoea.
 
Kuna mmoja aliwahii kuniuliza Upo wapi nimekumiss Sanaa...Ukirudi jitafutee! Khaaa kuna wengine hata wakiolewaaa unawalaa tuu
 
Utanielewa tu.
Katika Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete.

I will tell you WHY!
Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo hawakuoa kutokana na Situations fulani mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'wanawake na sera ambazo 'wanawake wengi
wanazipenda' na kako vizuri financially ikabidi huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo wake' kidemokrasia tu aolewe na wewe.

It doesnt matter how lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa wasionane, Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata
6 hawajatiana machoni ipo siku watakutana kariakoo kwenye shopping, zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo Mapenzi yao hayakufa.

Pete haizuii kitu watajikuta wamefanya yao tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu... wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga.....!!! wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee
bila Mshenga.

Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahawaseme hapahapa.Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana tena kwa msaada wa Mungu tu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo.

Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu.

Niwatakie tafakari njema.
Una akili sana mkuu,,umenena ukweli ulio uchi kabisa
 
Kabla sijacuangia naomba kujulishwa hili no jukwaa gani ? yamkini nimepotea
 
Oeni bana acheni woga, kugongewa kawaida tu mbona, kwani sh ngapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom