Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example


Angalau maneno yako haya.
 

Inaelekea haujaelewa thread anakuambia chunguza mazingira ya kuachana na X wengine waliachana bila ugomvi.Mazingira kama distance,ndugu,dini nk yanaweza kufanya watu waoe huku bado wakiwapenda x wao.Usipingane na reality
 
Ndoa imevunjika iviivi tunaona kwa habari ya alisema mkuu apo
 
Ni kweli ndoa, ni sakrament ya mwisho amabayo inatoka kwa MUNGU, na kwa akili na nguvu zetu we can't do anything...
We need to play hard, hata kwa wakatolik tunaambia ikibidi ufunge na kusali kwa novena miez sita..

Lkn mm pia nishawahi kumutana na wanawake wawili kwa nyakati tofaut nikiwa elimu ya juu..

Mmoja alilikuwa mwalimu wa primary miak 2 kazin kipind nikiwa nae kwenye mahusiano, kipind hicho alikuwa bado ni msichana na hakuwa amewai kuingiliwa japo befor alishakuwa na mtu akamuacha kwa ssbu amabazo aliniambia...

Japoa kwa wakti huo nakutana nae alikuwa na kiu ya kiolewa lkn mm pia sikupenda kufanya nae chochote kwa kuwa tulitofautiana iman, juz tu akaniambia tuachane

Wa pili ni mwanafunzi nilikutana nae chuon, mahusiano yetu yalianza baada ya kukutana tukiwa kanisan, naye bado haukuwa ameingiliwa...
Lakn bado nahisi naitaji kuomba kwa mungu anionyeshe yup aliye sahihi
 
Jamani yametokea haya mwaka jana!. Mambo ya kuchukua mzigo fasta, mara mimba kisha kukimbilia ndoa kuogopa kuzaa mtoto nje ya ndoa!
 

hao watu unajuaje kama hawajaingiliwa mkuu.. unakifaa cha kuwapimia!??
 
Siwezi kurudia matapushi.Nikitapika nimetapika.......

hyo c mpaka umuache mwenyewe may be kwa kukuuzi ?! mleta mada kazungumzia situation ya kumuacha mtu kwa kulazmishwa lets say kwa umaskin wake na bado unampenda na chukulia jamaa alikuwa first love wako na kwa mapenz tu anayajua tena zaid ya hubby wako. hiv siku unakutana after many years unadhan hamtakumbushia mambo yenu ?
 
hopeless topic. Kila siku mnarudi topiki ile ile. Kama topiki zimeisha, nyamazeni kimya.
 
hopeless topic. Kila siku mnarudi topiki ile ile. Kama topiki zimeisha, nyamazeni kimya.

Unganisha topic zinazofanana..!! Ukiona vipi pita kimya kimya au pita vile..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 


looo hawa wanaume wa dat kazi kulamika wanawake hawawasaidii kutoa hela ya matumiz wako busy na nini sasa. kuagiza chips mayai uasiyo na baba au
 
Inaelekea haujaelewa thread anakuambia chunguza mazingira ya kuachana na X wengine waliachana bila ugomvi.Mazingira kama distance,ndugu,dini nk yanaweza kufanya watu waoe huku bado wakiwapenda x wao.Usipingane na reality

Nimeielewa san thread ila ukweli ndo huo ex kwang maana ake expired
 
kumuogopa x wake et atakutana nae sijui wakumbushie. ni ujinga kunamengi ya kufikiria kwenye familia, hebu acha kuwaweka wana ndoa roho juu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…