florence JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 423 Reaction score 164 Aug 3, 2014 #2 utasikia Kazi ya Mungu haina makosa.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 3, 2014 #3 Mungu zijaalie familia za watu hawa ziwe na maisha ya ustahimilivu,kwani ndugu zao hawa wanaweza kuwa wageni wako ghafla
Mungu zijaalie familia za watu hawa ziwe na maisha ya ustahimilivu,kwani ndugu zao hawa wanaweza kuwa wageni wako ghafla
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,156 Reaction score 825 Aug 4, 2014 #4 hiyo kali inaitwa jaribu ufe.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,422 Reaction score 3,056 Aug 4, 2014 #5 Duh!! Hii bab kubwa. Ni ubunifu.
daman JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 210 Reaction score 160 Aug 4, 2014 #6 ubunifu ukizidi sana huleta matatizo.
MVUMBUZI JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 5,182 Reaction score 2,330 Aug 4, 2014 #7 Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu
Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Aug 4, 2014 Thread starter #8 MVUMBUZI said: Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu Click to expand... Aaah wapi labda kije kizazi kingine kabisa hawa wa sasa ni polisi deal polisi maslahi
MVUMBUZI said: Polisi hapa wanatakiwa waonyeshe wako makini kwa usalama wa raia na si umakini kwenye kutawanya maandamano tu Click to expand... Aaah wapi labda kije kizazi kingine kabisa hawa wa sasa ni polisi deal polisi maslahi