MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,767
Huyu mwamba Yuko wapi? Ikulu haendi tena. Ndege imeanguka mwamba Yuko kimya, sio kawaida yake.
Mama katoa kauli tata Arusha, mwamba katulia tu. Katiba inasusua mwamba katulia.
Hamna maandamano.
Hii sio kawaida ya mwamba kukaa underground muda mrefu kiasi hiki.
Kama anaumwa tupeni taarifa ndg zetu.