Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno

Tusipojibu pia tunaonekana viburi, wakati mwingine mtuelewe tu jamani ndivyo tulivyo. Ishini nasi kwa akili sio kwa mabavu.
Ni kweli lakini kuna point unajua kabisa nikijibu majibu ya ovyoo nazingua...au Pia ukikaa kimya ni dharau..!
 
Nazngua mimi mwenyewe sijawahi piga pisi
Hapo sawa kamanda. Mi niliishi naye miaka 7 na sikuwahi kumzaba hata kakibao ka kusingiziwa. Mkiwekana sawa pale mwanzoni mwanzoni na akajua mipaka yake na yako wala hakuna tatizo kabisa. Heshima ndiyo kila kitu na ikitokea mmoja kakosea basi anaomba msamaha kwa dhati kabisa na mambo yanasonga.
 
Najiamini sema mnakera...!!
Hujiamini ndugu. Kufanya hivyo ndo unaamini atajirekebisha?
Unaanzaje kumuumiza mtu unayedeclare kumpenda? Hivi wewe uko perfect humkeri kwa chochote?
Yeye yupo weak hawezi kukupiga, je akiamua kutumia njia nyingine kukudhuru utamlaumu?
Acha ushamba ndugu. Kama mwanamke ana tabia mbaya hata umpige vipi hutaweza kumbadilisha.
Mapenzi sio Vita mnakosea Sana sometimes.
Ndio maana Mimi nikisikia mwanamke kamchinja mumewe nafanya sherehe.
 
Tatzo huwa haachi kuongea...akikose akiomba msamaha namsamehe jumla ilaa mi nikikosea nikimuomba msamaha anaanza kupanda juu...anaongea ujinga mara kejeli...sasa ni vitasaa tuu...!!
 
Anayempiga mke ni muoga hajiamini. Tena ana matatizo ya akili
Tafiti za wananasaikolojia zinaonyesha hivyo japo kwa Afrika huku kuna tamaduni (zilizopitwa na wakati) zinazoshadadia ubabe huu. Wanasaikolojia wanasema wanaume wengi wanaopiga wenzi wao wana inferiority complex na ili kuproject power na authority inabidi watumie hiyo brutal force na intimidation lakini kwa ndani ni waoga mno. Na wengi wao wameshuhudia mama zao wakipigwa na baba zao wakati wa utoto. Wameathirika kisaikolojia...
 
Ni kweli. Wamepata malezi mabaya mno, utotoni wameshuhudia mama zao wakinyanyaswa..ni tatizo la akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom