Mwanaume unasikilizaje taarab aisee
Huo nao ni aina fulani ya Ushamba mziki hauna nyumbani, mziki unaunganisha Dunia.
Hakuna mziki unaosikilizwa na watu wa aina fulani. Mziki wa kihindi wanatumia Lugha yao Watanzania hatujui watamka maneno gani ila tunasikiliza.
Mzungu akija leo Tanzania hajui kiswahili ataburudika na mziki wa Kitanzania.
Nyie kizazi cha sasa hivi mnaburuzwa na ushabiki, Ukiwa mshabiki wa Diamond hata Ally Kiba atoe wimbo mzuri, hutoupenda.
Na hali iko hivyo kwa mashabiki wa Ally Kiba, hata Diamond atoa wimbo mzuri hawatapenda hata kuusikia.
Zamani tulisikiliza mziki wa Band zote zaTanzania, na nje mziki Ragae, Charanga, Caribian, Pope, Mahadhi ya Kikongo, mahadhi ya Africa Kusini, Twist na miaka hivi Karibuni R&B Tulikua Tunapenda mziki aidha kwa uimbaji au mapigo, Uimbwe kwa Luga yeyote.
Mfano Grie Grie Wa Sophia George, Aaliyah Na I mis you.
Anna Mwale Na Kwazungen
Alus Mabele Na Asta De.
Bicco Star Na Tuache Chuki
Bima Lee Na Moyo Wangu.
Black Box Na Ride On Time.
Bon M. Na River Of Babylon.
Bozi Boziana Na Chama Chiko.
Brenda Fassie Na Namakanjani.
Capten Jack Na Iko iko.
Celine Dion Na New Day is Came.
Chimora Na Eli aeli.
David Amunga Na Mama Mukoya.
Dante Thomas Na Mis Califonia.
Ebru Gundes Na Yallan.
Fela Kuti Na Shakara.
Ismaelo Na Africa.
Jamhuri Jazz Na Chawa Wanyama Wakali.
Judy Boucher Na Mr, Dream maker.
Wapogoro Na Karibu Dada.
Kassav Na Kaya Manman.
Lambada Kaoma Na Mslisha.
Madonna Na Into The Groove.
Mory Cante Na Yeke Yeke.