BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
- Thread starter
- #21
Usinitishe sasa.fanya hivyo kwakweli la si hivyo ningenza kuleta troubles hapa na uzi ungekuwa mchungu.
Usinitishe sasa.fanya hivyo kwakweli la si hivyo ningenza kuleta troubles hapa na uzi ungekuwa mchungu.
Utafiti gani?Ni aibu Sana kuleta uzi wa kubeza mojawapo ya nyimbo maarufu Tanzania na Kenya maeneo ya Pwani,Kumbuka Comoro ni taarabu tu hamna HipHop nk wao pia ni lasbians!!!! Kuna sababu ya kufanya utafiti kabla ya kuleta uzi wako
Unakosea sana mbona hata wanaoimba bongo flava wanaringa mixer kujilegeza in general huna pointi inayohusianisha taarabu na ushoga unaoreply kwa hisia.mwanaume kusikiliza au kuimba taarabu ni Upunga iliokubuhu, nyimbo gani hujaringa hujaimba!!!
waswahili bwana kw kuharibu mada, sasa sisi tukusaidieje!!?Please NEVER fly Tam Airlines - they have horrible customer service! Did nothing to assist me -Travel agency booked me out of wrong airport in Sao Paulo.
I arrived 1 hour before my flight but not enough time to get to the right airport. Had 2 other connecting flights - they canceled everything!! Wanted me to pay $2,000 US on top of what I had already originally paid to sell me back my own airline tickets!!!
Hujui mziki unachojua kuwa taarabu inasikilizwa na mashoga keep it up.Na mwanaume usikizaje taarab bana
Mwenyewe naonaga mwanaume mpenda taarabu hana tofauti na mapunga
Muziki ni hisia sio za ngono tu Bali za furaha na huzuni.Mamaenu mdogo hua ananambia nimwekee kalapina mstari wa mbele na N2N High na low
Aramba aramba aramba tena tamuuu like that.Kwa hiyo wewe mwanaume unaweza kuimba wimbo wowote wa taarabu na kutamka maneno yake mbele ya wanaume wenzako?
Wewe wasemaNa mwanaume usikizaje taarab bana
Mwenyewe naonaga mwanaume mpenda taarabu hana tofauti na mapunga
binafsi nimefurahi tu kukuona, 😍
mengine tena staki kujua.
Taarabu ni mziki(kuna melody, beats na mashairi) hivyo vingine ulivyovitaja sio vitu vya kawaida kwa hiyo kuvicompare na kusikiliza taarabu ni wrong
Waeleze mwisho wa siku wataelewa..Mimi geto napenda kula ngoma za hip hop ila na masongi mengine nasikiliza muziki wowote mzuri bila kujali aina ya muziki. Why shouldn't I?
I'm not after my personal interests all the time.
Sometimes I take into account interests of others, this is moral development.
At highest stage, moral decision judgement is autonomous, hapa siangalii napenda nini (hip hop) au huyo anapenda nini (taarabu), things are judged according to laws as long as huyo anayeskiliza taarabu havunji sheria.
Mipasho hata kwenye Hip hop kuna diss track sema huku haijakaa kike kike kama ya kwenye taarabu,
Mfano
K Jones_run254
Remmy ma_sheather