Sio fair kuhusisha Taarabu na Ushoga

Sio fair kuhusisha Taarabu na Ushoga

ni mtazamo tu,yupo mwingine atakwambia mwanaume hasikilizi kwaya,au mwanaume hapaki mafuta.
 
Binafsi ni mpenzi wa muziki especially Hip Hop that doesn't mean I don't listen to other kind of music. Muziki wowote mzuri mi nasikiliza nyuma nilikuwa napata shida kusikiliza muziki wa taarabu mbele ya watu nilikuwa natumia sana earphone napotaka kusikiliza taarabu na hii yote ilisababisha na jamii ambayo inaamini mwanaume anayesikiliza taarabu sio riziki hiyo sio fair ushoga ni mtu sio vitu by the way kwenye dunia hii kuna watu wanaimba hiphop ngumu na still ni machoko.. Ifike time tuache kuwa na mawazo yasiyo na mantiki Bali tuangalie facts.
Kuhusisha taarabu na ushoga sio sawa infact kuna taarabu za kina Issa matona zinaelimisha kuliko hata hizo bongoflava.

The infinite BabaMorgan
Taarabu na ushoga ni pande mbili kwenye shilingi moja.
 
Kuna ile taarabu ya mzee yusuf inaimbwa Nimemzimia kishenzi, ndio Mana nipo nae. Mwenye nayo aniwekee hapa. Inaninikumbusha mbbaaaaalllii
Avatar yako tu mkuu inaonyesha kama sio mpunga ni mchele
 
Kuna conflict kubwa ya kitamaduni kati ya watu waliokulia pwani na bara, watu wa bara huona kila kitu cha pwani kimekaa kikikekike wakati wapwani huona watu wabara kama wa vurugu na ambao hawajastaarabika. Mimi nimekulia bara na sio mpenzi wa taarabu lakini sina haki ya kumchagulia mwingine kitu anachokipenda ila kwa kuwa inaonekana unajali sana image yako hadi kutafuta approval ya watu Jf, bhasi endelea kuisikiliza kwa siri kama unavyofanya maana hata ujitahidi vipi, people will always understand things based on their own level of understanding. LIVE YOUR LIFE
 
Mtoa mada hii comment ndio imefunga mada yako, isome kwa makini sana...
 
Taarabu ni mziki wa mwambao wa pwani, kama wewe si mtu wa pwani basi huwezi kuielewa taarabu sababu sio katika tamaduni zako,
pia wengi mnaijua taarabu hizi za kina Khadija Kopa na Mzee Yusuph kuna old taarabu za kina Bi Kidude, Bi Shakira, Mzee Issa Matona na wengine wengi walioimba taarabu enzi hizo,

Inachekesha mtu anaona taarabu ni ukike lakini anasikiliza wabana pua wa bongo fleva.
 
Hivi kuna taarabu inayoelimisha mana waimbaji wenyewe wanaimba idea moja tu
Kwani muziki ni kwa ajili ya kuelimisha tu.? Muziki ni burudani watu tunasikiliza nyimbo za kifaransa na hatujui hiyo lugha still tunaenjoy.
 
Taarabu ni mziki wa mwambao wa pwani, kama wewe si mtu wa pwani basi huwezi kuielewa taarabu sababu sio katika tamaduni zako,
pia wengi mnaijua taarabu hizi za kina Khadija Kopa na Mzee Yusuph kuna old taarabu za kina Bi Kidude, Bi Shakira, Mzee Issa Matona na wengine wengi walioimba taarabu enzi hizo,

Inachekesha mtu anaona taarabu ni ukike lakini anasikiliza wabana pua wa bongo fleva.
Kweli Taarabu ni aina ya muziki tu. Na ushoga ni tabia ya mtu hata kama hasikilizi taarabu.
 
Kuna conflict kubwa ya kitamaduni kati ya watu waliokulia pwani na bara, watu wa bara huona kila kitu cha pwani kimekaa kikikekike wakati wapwani huona watu wabara kama wa vurugu na ambao hawajastaarabika. Mimi nimekulia bara na sio mpenzi wa taarabu lakini sina haki ya kumchagulia mwingine kitu anachokipenda ila kwa kuwa inaonekana unajali sana image yako hadi kutafuta approval ya watu Jf, bhasi endelea kuisikiliza kwa siri kama unavyofanya maana hata ujitahidi vipi, people will always understand things based on their own level of understanding. LIVE YOUR LIFE
Hiyo fact ila kuogopa kusikiliza taarabu kisa kuhofia watu watakujudge vibaya huko ni kutojiamini na kutojiamini ni kutokufanya yaliyosahihi.
 
Taarabu ni mziki wa mwambao wa pwani, kama wewe si mtu wa pwani basi huwezi kuielewa taarabu sababu sio katika tamaduni zako,
pia wengi mnaijua taarabu hizi za kina Khadija Kopa na Mzee Yusuph kuna old taarabu za kina Bi Kidude, Bi Shakira, Mzee Issa Matona na wengine wengi walioimba taarabu enzi hizo,

Inachekesha mtu anaona taarabu ni ukike lakini anasikiliza wabana pua wa bongo fleva.
Sawa bikidude tumekuelewa
 
Back
Top Bottom