Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,035
Kwel sasa hivi hakuna kituSinza ilikuwa Enzi za Ukanda wa Gaza bwana, saa 10 jioni ukipita unaona mlima wa kuku wa kuchoma, njoo saa nne usiku hakuna kitu.
Siku asubui nilienda kula supu nikakuta jamaa kaninginiza mbuzi km 10 hivi nikashangaa sikuuliza, kwenda kulala masaa 4 mbele nikaenda same place nilikuta vimikia tu vya mbuzi. Nyama ishaliwaSinza ilikuwa Enzi za Ukanda wa Gaza bwana, saa 10 jioni ukipita unaona mlima wa kuku wa kuchoma, njoo saa nne usiku hakuna kitu.
Haa hahNgoja wamalizie supu then watoe loki ndio watakuwa tayarikujibu,.