Sinza -MAkaBuRINi

mimi naishi Makaburini/sinza. mambo hayo yapo lakini sikiivyo, mambo iko COnner Bar, mambo iko uwanja wa Fisi sasa Uwanja wa sifa, mambo iko Manzese Tiptop kibaa hiki jirani na Ofisi za CCM Pale jirani na Postal office, pale hata demu wa miaka 10 unapata, hahaaa usishangae, bongo Dar es salaam.
pia maeneo ya hongera Afrikasana na San Cirro Legho na maeneo ya shekilango nasikia nako ni balaa, kunatisha
 
FL1,
Hivi ushawahi kujiuliza nisababu zipi zinazowapelekea mabinti kuwa hivyo?

Nakupa tano mkuu, cha msingi sio umri wa wanaofanya au mahali wapofanyia tatizo kubwa ni kwa nini? Umaskini unaotokana na unequal distribution of the national cake, niona sread moja jamaa analalamika watu wanakula msosi wa US $ 700 wakati wengine wanarisk maisha yao ili wakanunue sukari kilo shs 1,600/=.

Ukiangalia sera za Chama tawala kuna maneno wamepambwa huwezi amini, tunashindwa kuwapa hao akina dada mtaji wa shs 1,000,000/= waanzishe biashara za kueleweka? Serikali inashindwa kweli kuwapeleka shule wakasome wawe wakunga, mabibi shamba, waalimu, mahakimu. Kinahitajika kiasi kidogo sana cha hela kuwawezesha hao mabinti ila serikali haina nia ya kufanya hivyo.

Tutaandika sana humu, kwenye magazeti, redio na Tv lakini serikali lazima ioneshe nia. kama walivyosema Maisha bora kwakila mtanzania basi wajue kuwa mabinti kushinda nusu uchi usiku barabarani sio maisha bora hata kidogo.
 
Jee hii biashara huko nje ya Tanzania hakuna?

Hii ni biashara ya dahari na dahari hata ikipigwa marufuku basi itafanywa kimagendo tu. Si munaona mpaka kwenye internet sasa hivi ipo?
 
Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM;

Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body morphological structure mbali mbali pia.

mdau(Mwanamke) kilichomkwaza alimuona binti wa kati ya miaka 15 hivi pembeni ya barabara kama anataka kuvuka vile, akasima! mara binti akaja mbio kifuwa wazi kuom-oyesha kuwa mzigo ni saa nne. binti alipomwona ni mwanamke alimmpa bonge la mfyonyo!!. Nasikia hapo hakuna kulala mchana na usiku.

uwe unasikiliza vizuri na wewe ,,,sio sinza makaburini ni sinza africa sana pale kona bar
 
...ndio matatizo ya ajira hewa milioni moja hayo! yaani inasikitisha kwakweli, kuanzaia saa mbili usiku, kigiza kikiingia tu, displays kibao barabarani. Wengine ni wadogo sana, ukiwaangalia hadi unaona huruma. Hivi kwanini tumefikia hapa?

Suala si ajira Mzee. Wapo wenye ajira zao nzuri tu. Kuna akina mama ambao wanaishi maisha mazuri sana lakini wanatumika vile vle kwenye hiyo biz wana network kubwa ya kuweza kukuita hata unamshuhulikie kwake ambapo unakuta anaishi posh life, kila kitu kipo. Pengine n mazoea au njia kujiongezea kipato kilicho mbadala rahisi.

Unaweza kusataajabu kwa nchi za Ulaya na Marekani ambapo kuna mfumo mzuri wa utawala na Serikali zinajitahidi kuboresha maisha ya watu wake kwa kuwapa hata "ma-benefits" kwa wale wasio na kazi lakini bado unakuta kina dada wanapiga uchangu kama kawaida mchana kweupe kwenye pubs na mitaani!.
Nadhani ifike wakati kwetu ikiwezekana wahalalishe tu ili tusipate usumbufu wa kujua maeneo na pia kuwavuruga mengine ikiwemo makaburini.
 
raha sana kama wamachinga biashara mpaka majumbani, watafanya nn wakati tuna viongozi wabinafsi wenye kujali matumbo yao kila siku wanajibufaisha kwa pesa zao za misaada ya kusaidia yatima na watoto wanaoishi ktk mazingira magumu, parapanda itakapolia hakuna wa kuingia peponi masikini ataingia motoni kwa kutenda dhambi kutokana na kutafuta mali na tajiri ataingia motoni kwa kudhulumu mali na jasho la masikini.
 
hapa wanatafuta urahisi...Unajua maeneo haya yanaogopwa na watu hivyo nyakati za usiku huwa yana watu wachache mno.privacy 100% havahitaji gharama za guest house..Pili vishikio wakati wa kazi ni vingi tu...Supports...Naona ndo sababu za kukimbilia maeneo hayo.

Vishikio, unamaanisha Misalaba na mawe ya makaburiii!!!!, Hayaaaa!!!!! jamani hata hawaoni aibu ya kufanya mbele ya wafu? Mtu asije kaburini kwangu na huo upuzi, nitatoka na mjeledi watakiona cha mtema kuni..........
 
Kwani hakuna mzushi achukue documentary pale ya ki-utuuzima halafu airushe hewani?? wataacha tu. Mwana ukionekana hewani wakati umemwambia mamsap uko busy na ma-ripoti halafu ukotoka hewani lazima patachimbika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom