Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Hapa umetumia "jicho la tatu"
 
anashindwa kufungua biashara ya maana avutie wateja, anaishia kufanya ukahaba.... pumbavu kabisa huyooo...!!!
Naomba siku ajichanganye kwa kwenye namba chafu aibe hela wamfunze adabu
 
Ha ha ukipata Malaya anakuambia beba condom yako katupe mbele kwa mbele, muamini ila kitendo cha kulala na Malaya ujue kuna roho flani umeibeba na si rahisi kuondokana nayo bila Yesu
 
s
MWANANYAMALA WANAWAFANYISHAGA KWENYE FISI!
mi nimesikia tu!

ILA NA NYIE WANAUME MMEZIDI!
acha mfanyishwe mpk kwneye mizoga!
asa we ulitaka tufanyeje? ikiwa tukiwafuata nyie pm mnazingua mnataka tumalize sabuni za kufulia ndani?
acha tu tu tuendelee kutafuna mpaka mijibwa mwitu!
 
Ha ha ukipata Malaya anakuambia beba condom yako katupe mbele kwa mbele, muamini ila kitendo cha kulala na Malaya ujue kuna roho flani umeibeba na si rahisi kuondokana nayo bila Yesu
Yesu na uzinzi tena
 
huyo judy anatoa tigo? Azarel
 
Me mwenyewe nataka kuwa kama huyo rafiki yako ila roho inasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…