Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Hiyo ya kuwatumia misukule ni hivii huyo mwanamke ana dawa yake flani kabla hajaonana na mwanaume anachanganya na mafuta ya kujipaka anajipaka usoni kwahiyo wanaume wanakuwa wanamwona yeye tu

Halafu mkiingia chumbani anajipaka katika sehemu zingine za mwili hapo unajikuta unatoa hela zote unamkabidhi yeye na yeye kuna kiasi anapeleka kwa mganga wake.

Kuna kipindi alikuwa anaingia chumbani anaonekana ni yeye ila nafsi yake inabaki nje hlf mwanaume anamgonga mtu mwingine ambae huyo dada alimtoa kimazingara kijijini kwa mganga wake ili yeye asichoshwe.

Ni mzuri haswa huyo mwanamke, ana self za kupangisha Mwanza, Dsm na Arusha ila yeye hajajenga.

Mchana anavaa hijab na hatoki nje, wanaomchafua sasahv ni wenzake akiwepo mdogo wake kabisa.
Aiseee huwa anavaaa nguo nyekundu au maana kuna mmoja pale huwa anavaaga kimini chekundu na blauz nyekundu na ni mweupe
 
Aiseee huwa anavaaa nguo nyekundu au maana kuna mmoja pale huwa anavaaga kimini chekundu na blauz nyekundu na ni mweupe
Mpinzani wake mkubwa ni mama mmoja wa kigoma mnene haswa na ana mzigo wa kutosha nyuma na yeye anatumia kizizi pia ila kamwe hataki umgongee guest house

Mkishakubaliana anakupeleka chumbani kwake anakupikia na msosi kabisa.
 
Mpinzani wake mkubwa ni mama mmoja wa kigoma mnene haswa na ana mzigo wa kutosha nyuma na yeye anatumia kizizi pia ila kamwe hataki umgongee guest house

Mkishakubaliana anakupeleka chumbani kwake anakupikia na msosi kabisa.
Yaaah yule mama nampata
 
Mkomage tu!!!
Kuna mdada mmoja alitoa ushuhuda Nigeria...
Alizaliwa baharini akaletwa duniani kama agent wa huko baharini... Kazi yake kubwa ilikua kuharibu hatima/destiny za wanaume. Yaani mkinyonyana ndimi tu, kwisha habari yako... Ukisex naye ndo kabisaaa... Yaani hutakuja fanikiwa na mikosi itakuandama kila siku.

Sasa naimagine! Ivi Tanzania hawapo kweli hao viumbe? Na kama wapo, wanaume wangapi ni wahanga!
 
Unapoteza Milioni 10 kwa usiku mmoja? Kisa starehe ya kua na changudoa?
Mi nadhan jpm azidi zaidi na zaidi kukaza nati naona somo halijaeleweka la maisha ya NIDHAMU.
 
Wakome tu
Usiwe mwepesi kuongea hivo inawezekana mwenza wako mtarajiwa au uliye nae sasa kama mume ni muumini mzuri wa huo msukule na Kwa maana nyingine kama yeye ni muumini nawe umeolewa nae inamaana wote mnalala na misukule

Tuombeaneyasitukutemabayahayo
 
Back
Top Bottom