PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,180
Kuna watu hawana uoga kabisa.Unaacha papuchi salama nyumbani unaenda sinza
Kuna watu hawana uoga kabisa.Unaacha papuchi salama nyumbani unaenda sinza
Ohooooo!!!Huyo mbona anajulikana ila kukamatwa tu ndio iko shida...!
Wakati wa maandalizi ya uchaguzi mwaka 2015 si ndio alienda Picnic Arusha akalala na officer mmoja aliyetumwa kupeleka mabox ya kuhesabia kura kanda ya kaskazini..usiku akajipaka dawa kwenye maziwa, mheshimiwa kaanza na romance kwny lips kufika kifuani akalala na kukoroma hadi kesho yake muda wa lunch.
Bibie kaondoka na pesa nyingi haswa na ufunguo wa gari na akahama Arusha naskia alienda Mwanza.
Wakuu wa chama hawakutangaza kwani ingekuwa aibu kubwa kwa chama.
Jamaa alitimuliwa kimyakimya.
Huyo Mwanamke ni hatari sana kwa kuiba kichawi ila nayeye pesa zake huwa hazimsaidii abadilike.

Mungu wangu hapa si ndio mtu unapata mikosi, Aisee!amekuwa akishutumiwa kuwa anawafanyisha mapenzi wanaume na misukule.
AmenNdio hapo utauona uzuri wa kuwa ndani ya YESU
Hivi kumbe haya mambo ni kweli duuu aisee kazi kwelkwelHiyo ya kuwatumia misukule ni hivii huyo mwanamke ana dawa yake flani kabla hajaonana na mwanaume anachanganya na mafuta ya kujipaka anajipaka usoni kwahiyo wanaume wanakuwa wanamwona yeye tu
Halafu mkiingia chumbani anajipaka katika sehemu zingine za mwili hapo unajikuta unatoa hela zote unamkabidhi yeye na yeye kuna kiasi anapeleka kwa mganga wake.
Kuna kipindi alikuwa anaingia chumbani anaonekana ni yeye ila nafsi yake inabaki nje hlf mwanaume anamgonga mtu mwingine ambae huyo dada alimtoa kimazingara kijijini kwa mganga wake ili yeye asichoshwe.
Ni mzuri haswa huyo mwanamke, ana self za kupangisha Mwanza, Dsm na Arusha ila yeye hajajenga.
Mchana anavaa hijab na hatoki nje, wanaomchafua sasahv ni wenzake akiwepo mdogo wake kabisa.
Huyo dada ni mbunifu sana. Utakuta huyo jamaa ana mke nyumbani. Na pia mtoa uzi vile vile.Leo nimefurahi sana kuona wanaume wamegundua kuwa wanaachacwake zao nyumbani kufuata misukule ambiance na corner baa
Binadamu ameshindikana pamoja na magonjwa yasiyopona.Huyo dada ni mbunifu sana. Utakuta huyo jamaa ana mke nyumbani. Na pia mtoa uzi vile vile.
Wanacholalamika ni nn? Ni sawa uende kwenye kijiwe cha bangi halafu ulalamike umeibiwa. Huyo dada nampongeza sana, awakomeshe kbsa. Ni sawa ufanye biashara Dark web halafu ulalamike umeibiwa. Watu wanaroho ngumu, ukalale na changu kbsa?