Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,185
2,000
Hiv lachalz palivyo pachafu vile bado mnajadili tu ..mi nilidhan nilihitimisha tokea asubuh.kumbe bado watu mnachonga....hiv mkija goba au mkaenda mbezi beach .bahar beach zile bar za kule si mtasema ni bill20...

Dah sema nin vijana weng bado wanaijua pesa kwa kusikia...

Mi mwenyew ka pub kangu ngoja niseme ni ka mil60....akat hata mil8 hakajafika..na nimekatia mbao za pelet style ya skuhi kama lachalz na zingnezo..na kana flat mbili.mzik..counter nzur tu.sema hakana wateja nataka kahamisha location
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,036
2,000
La chaaz ina maajabu gani ya billioni Au zile mbao?
hata kati ya Top 5 Bars za Bongo sidhani kama ipo.. ingekua masaki naona sasa bajeti mngesema billion 5
Ujue hata mimi nimejiuliza hizi sifa za la chaz wajameni wanavyozimwaga kama ni ya nyota tano, yani mbongo ukimtega kidogo tu unambeba na kumfanya anakua kituko, biashara Bongo ni rahisi hasa sehemu za starehe maana nyumbu wako wengi wanafuata vumbi linalotimukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
13,520
2,000
Jamaa kasema Billion 1 simchezo Je Bar inayozungumzia ya mchezo.

suala limekuwa 1B sipesa ya mchezo kwa akili hii hata ukimwambia Jengo la BOT linavuka 1B atakataa kwasababu kwake kaklemu 1B simchezo haangalii nini kinazungumziwa.
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Ha ha ha kama umewekeza billions unaweza kusema 1b ndogo. Trust me Mo hawezi kusema 1b ni hela ndogo sana ila sisi tusionazo ndio mabingwa wa kusema hela fulani ndogo tu.
Asante sana kaka nashukuru kwa hilo ndio maana napingana na hawa dot com humu ndani maana wenyewe wanajuwa kila kitu eti mtu anatoka na kusema 1B ni hela ndogo sana hawa madogo bana wa ajabu sanaaa....Kawekeza wapi ni ujanja ujanja tu na sio zaidi mkuu....
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Nazunguzia katika uwekezaji mkubwa, na watu tunao fanya nao biashara na walio tuzunguka na hata katika shughuli tunazofanya hiyo hela ni ndogo na inahitaji managemnt ya hali ya juu sana, sio kama ambavyo tunaitazamia wengi. Nimeishafanya mradi wenye hiyo thamani sehemu na namna ilivyokuwa inakatika hela nikasema asalaleeee .... ni nyingi na ni ndogo, ila inategemea umeiweka wapi mkuu. Point yangu ya kusema ndogo nimeangalia na aina ya uwekezaji wa jamaa pale, kama hakuwa na magumashi hiyo hela ni ndogo pale, na ndio maana kuna mtu humu inaonekana wanajuana anasema hata hali ya kipesa ya jamaa imeyumba toka amewekeza hapo
Mkuu hapa topic kubwa ni pale La Chazz mbona mada inabadilika tena??ofcoz hatukatai kuhusu kuwekezs mradi wa 1B inawezekana ila mada hapa ni pale La chaz ndio watu wanataka kutudanganya humu na kujifanya wanajuwa kila kitu....
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Dada.usijisumbue kubishana nao..hao ni vijana wa maongez tu...hawajui chochote.sie wengne..sijikwezi..ila wazee wetu wanainvestments hyo la chaz takataka..so tunajua mambo yanafanywaje..we achana nao...usibishane nao.....hata mzee wangu mwenyew kama hakujui ukimuuliza mambo yake anaongeza masifuri...

Mzee wangu akikuuzia nyumba 60m...ujue yeye kajenga kwa 40m...materials zote analetewa kwa bei nusu...mbao ya 2×4 wew unanunua elf mwenzio ananunua elf4500....we unaweka flat tv kwenye hotel umenunua lak5 yeye kanunua used lak3 ..bila hvyo mjini hakuend..na sio kwamba hana hela dada angu.
Mkuu ukisema hivyo hawatakuelekuelewa hapa maana naona tuna deal na dot com ambao hawajui kutafuta hela wala kuijua 1B ni nini kila mtu anataka kujifanya mjuaji wa kujua kila kitu....
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Mi maeneo yangu..kidimbwi..samak samak.sku moja moja mediteraneo..nkitaka ogelea na chungulia biki.ni za watoto wazur naenda pale tanzanite mchana naoooga wee kama bata...

Nkiwa na watu wa maana utanikuta kwenye baa za goba za kiutu uzima...

Naatend sana events ..iwe miss nan sjui..nimo.iwe show wasafi nimo..iwe msanii gan kaja nimo..yaan mim

Maisha yenyew mafup haya dada angu.
Ile bar ya Goba pale njiani acha kabisaa ni nzuri sana alafu bado mpya naonaa haina mda mrefu na vyakula vizuri pale pazuri kumalizia week sehemu kama samaki samaki na element huko unaanzia week mjini ni plan tu....
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Hakuna bilioni moja pale tuache blah blah. Hivi ameinunua yake au kapanga kwa CH? Kwahio bar ya kupanga ndio afanye matengenezo ya bilioni moja? Kuweni serious basi.
Kama megundua wengine wapo humu kutuchanganya akili kitu tunaenda mbele na nyumba eti mtu kapangisha sehemu alafu ainvest 1Billion hawa vijana sijui wanawaza nini.hasaa
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,789
2,000
Halafu unapomwaga hiyo bil 1 kwa hiyo La Chaaz, ambayo humiliki, lazima ujiulize hiyo investment itarudi lini, kabla hujaanza kuingiza faida?
Sehemu unapangisha ambayo sio yako alafu watu wanasema pale kamwaga zaidi ya 1B ina maana hiyo hela atairudisha baada ya mwezi mmoja au??au baada ya mwaka 1 na mwenyr eneo akisema anataka eneo lake hapo inakiwaje hasaa??watu humu ndani hawafikirii kabisaa hata kidogo..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom