Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
10,207
2,000
Wewe hujaelewa wanachojadili. Wanajadili bilioni moja in relation to what? Yaani bilioni moja kwa huo ukarabati wa hiyo bar specificaly na siyo bilioni moja kwa mambo mengine uliyoelezea. Upo hapo? BTW hiyo bar ulishawahi kuiona? Una uaozefu wowote na ujenzi?
Yule jamaaa sialijenga na ukumbi pale?
 

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
1,878
2,000
Investment ya pale inaweza fika iyo ela au ikakaribia......
Jamaa kasema Billion 1 simchezo Je Bar inayozungumzia ya mchezo.

suala limekuwa 1B sipesa ya mchezo kwa akili hii hata ukimwambia Jengo la BOT linavuka 1B atakataa kwasababu kwake kaklemu 1B simchezo haangalii nini kinazungumziwa.
 

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,481
2,000
Mkuu lakini si gharama za ujenzi zinaweza kukisiwa kulingana na bei ya material? Hata mfano wa simu uliotoa siyo sahihi kwa sababu bei ya simu inajulikana na haiwezi ku-flactuate sana. Kwa hiyo simu kama inauzwa mil 1 na wewe ukija na kusema umenunua laki tatu ni lazima nitakubishia. Ingekuwa hivyo hata wanaofidiwa nyumba kupisha ujenzi wangekuwa wanajitajia bei wanayotaka na wasingeweza kubishiwa kwani wao ndiyo waliojenga.
ni kweli mkuu gharama za ujenzi unaweza kukisia lakini si makisio yote huwa sahihi,81% ya makisio huwa si sahihi,kwanini? uhalisia ni tofauti na mambo ya "inawezekana ikawa sh.kadhaa".

Hamnaga bei elekezi ya ufundi wa kujenga nyumba ya chumba kimoja,kila fundi akija anakuja na bei yake kisha wewe boss unaangalia fundi yupi anaendana na mfuko wako.

Kwenye simu hapo mkuu kuna kupigwa,hivi hujawahi agiza kitu online kikafika pale POSTA wakakutandika kodi hadi ukajuta,halafu mtu mwngine kitu hcho hcho akakiagiza kikafka akapta nacho pale kwa gharama ndogo sana au pengine bure kbsa,kwahyo mtu anaponunua kitu kuna Kupigwa na Bahati na sibu pia mkuu.

Wanaofidiwa nyumba hutoa gharama halisi ya nyumba zao na uthibitisho,ukikosa uthibitisho ndio yale wanakulipa kulingana na wanavyoona wao ila swala la ujenzi si rahisi tu la kuongelea juu juu kwamba ni bei flani au haifiki bei flani.
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
16,919
2,000
nawajua hao mimi huwa siwageukii
Wanawapata ma slay queen macho juu juu

Unakuta kaka msafi,ananukia,kaweka funguo yake hapo juu au kaning’iniza kapanga simu zake,analamba kinywaji hicho hicho muda unasonga
Slay queen anaweza kunasa kirahisi hapo kumbe mwenzie ni showoff tu ukienda kwenye maisha halisi unachoka
lol
 

Burnaboy

JF-Expert Member
Dec 2, 2019
820
1,000
Katika mambo huwa siyafanyii mchezo ni kinga..mi ni ndio ila si.tomb bila condom hata siku1...na sichukuag wale wa barabaran au wale ma pro kabisa wa kujiuza...mi madem zangu wa ofisin...vyuon na videm vya mitaan hiv .unakikuta kinauza juice au stationery unabeba..ila kulala na malaya kabisa wale.sjawai
Inaonesha unachezaga karata ya kuoa...ukishamaliza mambo yako una move on...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom