Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Kwahiyo mkuu unataka aandike non stop bila kupumzika?😅😅😅Kuna mlipuko wa nyuzi nyingi zenye hadithi kama hizi. Nikiona tu ITAENDELEA huwa napuuza.
Kwahiyo mkuu unataka aandike non stop bila kupumzika?😅😅😅Kuna mlipuko wa nyuzi nyingi zenye hadithi kama hizi. Nikiona tu ITAENDELEA huwa napuuza.
Ok pole kwake nimeishi SA cape town kwa mda flani ni nchi nzuri ukimudu maisha yake hasa kwa watoto maana watapata elimu BoraDada alirudi bongo mwaka 2014 alimzingua jamaa, mimi kwa sasa naishi South toka 2017 na familia yangu mke na watoto niliwachukua 2019
Bora mimi nilikwenda kutafuta, vipi wewe unaeishi kwa shemeji yako?Yaan akili huna kabsa Kwanza sjui ww umetokea sehem gan ya nchi hii? Yaan dadako anaitwa kwenda kupigwa kobiro na ww unamsindikiza ? Yaan akili huna kabsa!! Mm pia naungana na huyo jamaa WA SA
Anaandika maneno mengi ambayo angeweza kufupisha. Kwa mfano utakuta mtu anataka kuelezea yaliyomkuta South lakini ataanza kusema wakati tunavuka mpaka pale Tunduma tulipita immigration kupiga muhuri halafu kwenye basi nikapata siti ya dirishani... yaani mambo mengi yasiyo na umuhimu.Kwahiyo mkuu unataka aandike non stop bila kupumzika?😅😅😅
Huo ni mfano, lakin kwenye hii story ya jamaa sijaona alipoandika hivyo mkuu. Lakini pia concern yako ipo kwenye neno itaendelea, so kama story yake ingekuwa ndefu, hatakiwi kupumzika?Anaandika maneno mengi ambayo angeweza kufupisha. Kwa mfano utakuta mtu anataka kuelezea yaliyomkuta South lakini ataanza kusema wakati tunavuka mpaka pale Tunduma tulipita immigration kupiga muhuri halafu kwenye basi nikapata siti ya dirishani... yaani mambo mengi yasiyo na umuhimu.