Sintosahau nilivyoachwa park station

Sintosahau nilivyoachwa park station

TUENDELEE

Basi nililala pale stendi siku 2, siku ya tatu bahati nzuri kuna vijana wawili walikuwa wanapita pale Park Station nikasikia wanaongea kiswahili,
Nikaona mungu si athumani ikabidi niite oyaa vipi? Jamaa wakasimama tukasalimiana pale ikabidi niwaeleze niliwadanganya kwamba nilishuka pale siku 2 nyuma sema nimekutana na masela apo nje wakanikaba wamenipukutisha kila kitu,
Basi Jamaa wakanichukua mpaka sehem flani tukakaa kupata msosi kwa dada mmoja wa kibongo, kumbe nao pia hawana kitu bwana, uzuri mi bado nilikuwa na akiba yangu r300 ikabidi pale nilipe.

Baada ya hapo wakaniambia kwamba wao wanaishi gheto wapo watu wanne so kama nikitaka kwenda kukaa kwa muda wakati naweka mambo sawa itabidi nilipe rand 200 kipindi hicho nikawaambia poa.
 
Dr Restart Mamndenyi Half american
 
NASHUKA
Basi bwana tulipiga misele kwenye misunguko yao maskani mpaka jioni ndio tukaenda maghetoni, kufika ikabidi nioge nilale maana nna wiki silali vizuri, basi kukakucha, tukawa tunapiga story wananichukulia maelezo, uzuri ktk story kuna mmoja anatokea mitaa niliotoka bongo, basi kupiga story zaidi kuna dogo mmoja nilishawahi kumsaidia mwaka 2007 alikwama sana ki maisha nikawa nampiga tafu, kumbe huyo dogo alikujaga South mwaka 2010 na kipindi hicho kidogo ashakuwa vzr kidogo, sasa wakati tunapiga story jamaa ndo akaniuliza unamjua fulani, nikamwambia aah yule Mdogo wangu mbona sema nna miaka sijaonana nae, jamaa ananambia yupo maisha haya.
Na yupo vizuri na namba yake ninayo, akasema ngoja nimcheki, kumpigia akamwambia bwana nipo na jamaa hapa katoka bongo anasema anakufaham, jamaa akamwambia em mpe simu, basi nikapewa simu, jamaa akaniuliza nani mwanangu nikamtajia tukakumbushana daaaah jamaa akaniambia mwanangu panda gari sasa hivi njoo napoishi, ni mji mwingine panaitwa northwest rusternburg, apo mfukoni nna rand 200 maana nshalipa chumba r200 jana yake usiku. Basi jamaa akawaelekeza wapi ntapata gari za kwenda huko na akawaambia jamaa wanipe nauli yeye atawatumia.
 
Back
Top Bottom