Sintosahau nilivyoachwa park station

Hatar sana.

Mimi nilikuwa ma dem wangu mmoja hivi baada ya kumaliza kidato cha nne kaenda zake SA,maana baba yake anaishi kule amezamia miaka mingi sana.

Alipofika kule alinisisitizia sana niende kwani kutengeneza simu zinalipa sana lakini nilishindwa kwenda kutoka mtoto wa kike akikurabisha mara nyingi huwa ni 50/50 yanaweza.
 
🤣🤣🤣Ukaliwa kichwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…