babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,301
- 20,881
Kuna wamalila pia ombea usikutane naoMbeya wasafwa wanyiha wanyakyusa naona Kama wamekaa kibabe saana
Kuna wamalila pia ombea usikutane naoMbeya wasafwa wanyiha wanyakyusa naona Kama wamekaa kibabe saana
[emoji28][emoji23][emoji23]unatukimbia dada zako sioWadada wa Mbeya ubabe mwingi......binafsi ingawa ni mnyakyusa ....lkn siwazi kuoa madem wa Mbeya[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Wakulungwa,banzukuluWakulungwa mwiko kuaga Banzukulu ni kanuni kuu ya usalama wako.
Wadamla! Au nimekoseaUlyahanda ashimbiye mwana wa maayi.
Mwaagona leelo mwana witu Bujibuji.
Lkn jamaa hajasema km huyo mwanamke alimuomba pesa.Alikuwa hamnganganii yeye; alikuwa anangangania hela ya mradi ; sema Jamaa ndo alikuwa nayo!
Hah kama unataka patia but inagoma.Wadamla! Au nimekosea
Zimbombo?Hah kama unataka patia but inagoma.
Hela ya mradi ni siri!!..... ilikuwaje akamuonyesha hela ilipo wkt si yake??? kiherehere....alistahili hayo tena ana bahati huku kwetu zinaibwa zooote na kaka jambazi lkn bado demu ana baki kukulia target zaidi!Alikuwa hamnganganii yeye; alikuwa anangangania hela ya mradi ; sema Jamaa ndo alikuwa nayo!