sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 519
- 182
Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa.
Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na anayefanya kazi kwenye taasisi.
Hii haiko sawa inaleta ubaguzi na mwishowe mtoto wa mkulima ndo wengi wanaumia.
Hii inafanya watumishi walioajiriwa tamisemi , mikoani kujiona sio kitu ilihali mtumishi bora anapewa laki 5 tofauti na wataasisi kupewa milioni kadhaa.
Kuwe na usawa wa maslahi kwa watumishi wote.
Hii nchi ni yetu tunahudumiwa watanzania kwanini wengine walipwe sana tofauti na wengine. Sawa mnasema watu walipwe kulingana na uwezo sehemu halipo kiuhalisia aliyepo kijijini ana mazingira magumu tofauti na wa mjini .
Serikali iliangalie kwa jicho la pili lione jinsi kuweka mambo sawa inawaumiza watumishi moyo wa kazi.
USHAURI KWA SERIKALI- iandae programme maalumu kutoa zawadi kwa kila sehemu bila kutegemea mtu alipo hii itaongeza hamsa ya watumishi kufanya kazi na kujituma kokote walipo