Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?π€
Weka kwenye pesa simu! Mi siezi kubali kununua vocha ya jero nimetoka buku nirudishiwe mia nne hiyo mia nne ainati mfukoni Bora ninunue ndizi Nile au niitupe mezani
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?π€
Kuna hii mpya hii ya vocha kupanda bei bila sababu yani vocha ya 500 sasahivi ni 600 na vocha ya 1000 sasahivi ni 1200 na ile ya 2000 sasahivi ni 2400 haya yametukuta huku mbeya wilaya ya chunya na songwe. Na wewe mdau hali ipoje wilayani kwako?