MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Tumeusikia mkakati wa serikali ya Tanzania wa kumaliza sintofahamu zilizojitokeza baina ya Rais wetu JK; na Paul Kagame; Rais wa Rwanda kupitia kwa Waziri Mkuu Peter Pinda jana bungeni alipokuwa akimjibu kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe kuhusu mgogoro unaozizima baina ya nchi zetu hizi mbili jirani.
Kutafuta suluhu katika migogoro ni jambo jema sana na linakwenda sawia na ushauri alioutoa JK kwa nchi ya Rwanda kuhusu mgogoro wao wa muda mrefu baina yake na mahasimu wake FDLR; kwa bahati mbaya ushauri huo wa JK alioutoa kwa nia njema; ulipokelewa vibaya na General Kagame na wenzake ndio kisa cha kutufikisha hapa tulipo katika mahusiano na majirani zetu hawa; wanachama wenza katika jumuia ya Afrika mashariki; inasikitisha sana!!
Angalizo langu ni kwa viongozi wetu watakaoshiriki katika kutafuta suluhu hiyo! hapa napenda kuwataja moja kwa moja JK mwenyewe kama mkuu wa nchi, Mh. Benard Membe kama waziri wa mambo ya nchi za nje na Waziri Samuel Sitta kama waziri wa jumuia ya afrika Mashariki na viongozi wetu waandamizi wengine wawe makini sana kjatika majadiliano yao!! I have a hunch there is more to it than meets the eye!!
Paul Kagame might have been unleashed by the trio "to act like a spoilt brat" so that if we may ultimately cow in; then they win their ultimate trophy! ambayo ni mambo wanayoyatamani sana kuyapata katika ushirikiano huu wa afrika ya mashariki!
Ambayo ni:
1. LAND 2. FREE LABOR MOVEMENT na 3. FAST TRACKING THE EA FEDERATION
Mfuatiliaji wa maswala haya haitaji kuwa na shahada ya Uzamivu kuwaelewa ni kwa nini wako focused sana huko!!
Mpaka hapa tulipoTanzania tunalaumiwa sana kwa "kujivutavuta" sana katika kuridhia itifaki mbali mbali zinazohusu mambo hayo wanayoyatamani kwa udi na uvumba! na hilo pia halihitaji mtu kuwa Doctorate degree kuelewa kwanini tunajivuta vuta; wenzetu hawapfurahii hali hiyo lakini sisi kama nchi tunazo sababu zetu za ndani za kufanya hivyo na ni haki yetu, Tanzania kama taifa wajibu wake wa kwanza ni kwa wananchi wake; na si vinginevyo na mambo mengine yote hufuata.
Kinachonisukuma kushauri kwamba tuwe makini katika kuitafuta suluhu tuipendayo ni kwa sababu nahisi hawa kina PK, M7 na Uhuru wanaweza kuwa na mkakati wa siri wa kutufanya tuwaangukie na kwa hivyo kulegeza na au kutupilia mbali msimamo wetu kuhusu mambo hayo matatu makuu wanayoyaota usiku na mchana niliyoyaainisha hapo juu!!
Vikao vyaoi vya Enttebe Uganda na Mombasa Kenya juzi vinawezekana kabisa vikawa vimekuwa stage managed towards that same end!
We surely do not want to be conned into submission to drop our principles so dear to us by actions designed to do just that!
Kuna msemo kwamba; when the need is too high; logic suffers!; tusije tukaitafuta suluhu na Kagame kwa udi na uvumba hadi kutufanya tukasahau shida zetu; maadili yetu, sera zetu na misimamo yetu ya msingi!
Tukifika huko nachelea kusema tutakuwa tumeweka precedence mbaya ambayo italidhalilisha taifa hili isivyo na mfano na kuleta athari kubwa kwa taifa na watu wake kwa miaka na vizazi vingi vijavyo!
Just thinking aloud! I cry for mother Tanzania.