fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 665
- 720
Wadau,
Toka nianze kutumia internet juzi juzi tu hapa nikitembelea tovuti mbali mbali, naona matangazo ya kuwa single girls wengi wazuri in my area wanataka kukutana na mimi. Yaani nashindwa hata kuelewa, au wamejua nimepata bahati nasibu ya 9,999 visitor katika site kwaiyo kuna mkwanja nitapata.
Au mi naona kuna mtu kawaambia jinsi navoshinda free ipad kila siku katika email zangu ndo maana wanaanza kunletea shobo,ngoja nichukue hizi ipad zangu na hizi hela zangu nilizoshinda internet alafu watanikoma