Single room inahitajika!

Single room inahitajika!

Chumba kimoja single maeneo ya sinza,bamaga,mwenge kizuri kinahitajika kisizidi elf 60

Unachelewa nini nipigie,

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya mwezi mmoja,
Kukagua nyumba kuna malipo kidogo

[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG] (GeneralBroker):
+255-714-59-15-48.
 
Sina kawaida ya kudharau Pesa,
Vipo vyumba hadi vya 50.
Shida ni hayo masharti ,
Unataka chumba kimoja lakini nyumba isiwe na wapangaji wengi?
Hapa ndipo panapoleta 'ukakasi'.
Kwani hamna nyumba yenye wapangaji wa3 tu? Wa wapi wewe?
 
...teh hee hee!namna hiyo,safari moja huanzisha nyingine!
..yajayo yanafurahisha!
Akili chafu huishia kufikiria Uchafu.
Mimi ni DALALI unategemea na-connect vipi na wateja.

Panga,Pangisha au Nunua na kuuza chochote nami :+255-714-59-15-48.
 
Preferably kinondoni!
Umeme
Maji
Wapangaji wasiwe wengi!

Nikipata bila dalali itapendeza zaidi!
kuna bonge ya room iko makongo juu,ni self na ni kubwa na kodi yake imecmama kdg,,ukiitaka ni pm,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom