haina shaka mkuu,,akitokea mtu anataka maeneo ya uku usisite kumwambiaMkuu chumba kishapatikana
Asante
[emoji3] [emoji3] [emoji3] et asikukaushe uzaz,,mkuu una misamiatiiiAchana nae huyo mkuu, asikukaushe uzazi!
Hebu tutoke kwenye uajabuajabu wako, twende kwenye kazi.Wahapahapa.
Masharti yenu wateja wakati mwingine ni shida.
...hahahaha...mtoto una akili sana,ulijuajee!!???Hahahha naona kamganda kweli sijui alitaka apewe yeye hayo maneno matamu!
Vinapatikana,Hebu tutoke kwenye uajabuajabu wako, twende kwenye kazi.
Chumba self contained maeneo ya Mwenge, Survey, Makumbusho au Namanga kinapatikana?
Unachelewa nini nipigie,
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya mwezi mmoja,
Kukagua nyumba kuna malipo kidogo
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG] (GeneralBroker):
+255-714-59-15-48.
Nimekuomba unipatie maelezo ya utakacho,wapi na kwa bajeti(ofa) gani.Tuma picha ya chumba ndani na specifctn wapangj wangp maji umem vp biashar teknologia imekua boss kuzungushana mjini na jua ili sio mpango