KIKUNGU
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 845
- 585
- Thread starter
- #21
Kwa mtizamo wangu nafikiri kwa mwanamke ni vema kuolewa na mwanaume ambaye hana watoto ilimradi bado unauwezo wa kuzaa na mwanaume husika kwa sababu wanaume huwa wanapenda watoto wa wapenzi wao ili kunogesha penzi lao ili mradi 2 kusiwe na usumbufu kutoka kwa baba wa watoto husika.
Kwa mwanaume iwapo inakulazimu kubaki na watoto baada ya kutengana nafikiri ni vema ukampata mwanamke mwenye watoto, wakti analinda maslahi yake(watoto wake) atakuwa anaheshimu maslahi yako(watoto wako) , sharti kusiwe na usumbufu toka kwa mama wa watoto husika.
Asante sana BRO LEE kwa ku share nasi,ila bado kuna challenges zitakuwepo either umeoa/olewa katika mazingira kama hayo.Na umri wa watoto unatakiwa kuzingatiwa sana,let say they are above 15yrs old,je watakukubali uwe mama/baba yao wa kambo,japo hapa inategemea na malezi pia.